Mawaziri mzigo wahojiwa na CC ya CCM Dodoma - Kikwete aongoza kikao hicho

Kwa hiyo mkiambiwa ukweli ni Bavicha? Utamsemaje mtu ni Bavicha bila kujua Ideology yake? Kwa taarifa yako tupo ambao sio Bavicha na hata umri hauturuhusu kuwa huko lakini uji.nga wenu hatuuvumilii maana haujengi zaidi ya kupotosha na kuharibu majadiliano yenye tija.
Tanzania mbovu ya sasa ni mzigo kwa vizazi vijavyo tuwe makini. Imagine taifa lote liwe la watu kama wewe kweli linapaswa kuitwa taifa hilo?

Sasa wewe kama una hekima kwa nini umeporomosha mitusi?
Nipishe huko
 
Mh. Chiza alikuwa mchapa kazi sana kabla ya kujikwaa kwenye siasa za CCM,Nilikuwa namkubali sana huyu Baba..
 
Kuchukua hatua cy lazima kuwawajibisha hata kutoa onyo kali pia,

Hatua ya suala kufikishwa kamati kuu ya chama kuhusu utendaji wa watumishi wa umma wanaoteuliwa na Rais ambaye ana mamlaka kamili ya kuwaonya, kuwapa maelekzo au kuwawajibisha ni dhahiri rais Kikwete ameshindwa utendaji na pengine uteuzi wake kwa watumishi hao wa umma haukuwa sahihi. Kwa sasa akifanya mabadililo ya barala lake la mawaziri itakuwa ni mara ya tano na mara zote ameingiza mawaziri hao mzigo, hapa kuna tatizo toka Magogoni.
 
ENZI_zetu_f7817.jpg

Hivi Mark Mwandosya sio mzigo kweli?
 
mawaziri wote wa ccm Mungu amewanyima busara kama waziri mkuu ndo amechoka na kupinda kama jina kubadilisha mawaziri hatasaidia chochote ccm chama chakavu mnang'ang'ania madaraka ya nini wakati sekta zote ni uozo mtupu pumzikeni jamani kwa hawa mtakaowachugua watakuwa malaika wasijisahau ????
 
Hakuna chochote hapo, wanatubeza na kutucheka tu.

Kuchukua hatua cy lazima kuwawajibisha hata kutoa onyo kali pia,

Hatuwezi kujua, hata hii ya kuwaita na kuwahoji nayo ni moja ya hatua. Hatujui nini kitaendelea na maamuzi gani yatachukuliwa. Cha muhimu kila waziri sasa hivi anajua kwamba asipotimiza wajibu wake au akionyesha utendaji mbovu kuna kuitwa na kuhojiwa. Binafsi, naona ni mwanzo mzuri!
 
Jamani mawaziri mhurumieni rais wetu alianza kwa kuwa amini akina Lowasa na wenzake wakamwangusha,wakaja akina Ngereja,Mkulo,nk. wakamwangusha na nyinyi tena mmemwangusha kama vipi rais teua hata upizani basi....maana hawa hawabebeki.....la kuvunda halina ubani.

kama Mnyika alisema Jk ni dhaifu unategemea nini? Dhaifu lazima ateue dhaifu wenzake
 
Hatua ya suala kufikishwa kamati kuu ya chama kuhusu utendaji wa watumishi wa umma wanaoteuliwa na Rais ambaye ana mamlaka kamili ya kuwaonya, kuwapa maelekzo au kuwawajibisha ni dhahiri rais Kikwete ameshindwa utendaji na pengine uteuzi wake kwa watumishi hao wa umma haukuwa sahihi. Kwa sasa akifanya mabadililo ya barala lake la mawaziri itakuwa ni mara ya tano na mara zote ameingiza mawaziri hao mzigo, hapa kuna tatizo toka Magogoni.
Kwani swala kufikishwa kwenye Kamati kuu ni ajabu, Hufahamu kama CCM ni chama tawala?. labda kama unafahamu kuwa wakati wa kuwateua hakuihusisha kamati kuu ya CCM katika kupata mawazo, ndiyo kidogo unaweza kusimama na hoja yako hii.

Nadhani utakuwa unaandika ukiwa unafahamu kuwa kwenye nchi kama ya Uingereza, Baraza la Mawaziri huwa linabadilishwa almost annually.

Kubadilisha Baraza la Mawaziri kuna faida zake na hasara zake lakini cha muhimu ni kuangalia performance, mabadiliko ya sera na effectiveness.

Kipindi cha Mwl. Nyerere alikuwa anabadilisha kwa kuwahamisha watumishi wa serikali karibia kila mwaka or two kutokana na sababu nilizozieleza hapo juu.

Hakuna kozi ya uwaziri na kutokana na hivyo, utaufahamu utendaji wa Waziri baada ya kuanza kufanya kazi otherwise, labda itumike njia rahisi ya ku-recycle mawaziri wa zamani ambao utendaji wao unafahamika.

Ngoma ni kubadilisha Waziri Mkuu kwa sababu hata Katiba inalifahamu hilo kwa vile wabunge wetu nao hushiriki kumchagua kwa kumpigia kura baada ya kuteuliwa na Rais.
 
quote_icon.png
By Saint Ivuga
Bavicha kawaida yenu si matusi.
Mimi mmenikasirisha sana chama kimeshashika moto kwenda ikulu mmekiua ... Mini kabang family akili zenu zipo kwenye masa.

Kwa hiyo mkiambiwa ukweli ni Bavicha? Utamsemaje mtu ni Bavicha bila kujua Ideology yake? Kwa taarifa yako tupo ambao sio Bavicha na hata umri hauturuhusu kuwa huko lakini uji.nga wenu hatuuvumilii maana haujengi zaidi ya kupotosha na kuharibu majadiliano yenye tija.
Tanzania mbovu ya sasa ni mzigo kwa vizazi vijavyo tuwe makini. Imagine taifa lote liwe la watu kama wewe kweli linapaswa kuitwa taifa hilo?

Sasa mbona una akili kama ya Bavicha. Kubwa zima!!
 
Hatua ya suala kufikishwa kamati kuu ya chama kuhusu utendaji wa watumishi wa umma wanaoteuliwa na Rais ambaye ana mamlaka kamili ya kuwaonya, kuwapa maelekzo au kuwawajibisha ni dhahiri rais Kikwete ameshindwa utendaji na pengine uteuzi wake kwa watumishi hao wa umma haukuwa sahihi. Kwa sasa akifanya mabadililo ya barala lake la mawaziri itakuwa ni mara ya tano na mara zote ameingiza mawaziri hao mzigo, hapa kuna tatizo toka Magogoni.

Ni kweli kabisa, tatizo liko magogoni.
 
Kama ningekuwa mmoja wao ningejiuzulu kabla ya kuhojiwa ili kulinda hadhi yangu kisiasa. Mteule ndiye mwenye mamlaka ya kuchukua hatua dhidi ya utendaji usioridhisha wa waziri na si chama. mie siamini kama hiyo ni njia sahihi ya uwajibikaji wa viongozi wa serikali. Mtawaita wengi sana walio chini yao katika wizara wanazoziongoza. hakuna impact hapo zaidi ya kupoteza muda. ni maoni yangu.
 
nape na kinana mbona wanajifanya hawajui tatizo ni mfumo mbovu.kama baba amemwaga mboga wao si wamemwaga ugali?waondoke wote au wabaki wote.maajabu kama wamekosea kwa nini wahojiwe na chama wakati tume ya maadili ya viongozi ndo kazi yake?hiyo itsongeza tu mpasuko wa chama.kama mtu amesha kuw kiongozi si wae chama tena hivyo wahojiwe mbele mbele ya wawakilishi wa wanaowatumikia(bunge)
 
Mh. Kikwete anauzoefu wa kuvunja baraza la mawaziri na kuwaondoa mawaziri mizigo, hatua hii ya kuwasikiliza kwanza kwa maana ya kuwapa nafasi ya utetezi ni hatua mhimu sana ya kufika mbele. Kwa aikili ndogo ya BAVICHA wangependa mawaziri hao mizigo watimuliwe bila hata kusikilizwa ambapo ni kinyume na utaratibu, tuwe wapole tuu hatua stahiki zitachukuliwa baada ya wahusika kusikilizwa na kujitetea!

Wasipo wasikiliza ccm itazidi kuwa na makundi just y inawapa nafasi na kuwafanyia lobbing wakubaliane kwa roho safi kutolewa.
 
Kolimba alifanywaje vile? kahojiwa mzee wa watu naye akahitika kwenda kuhojiwa ,kilichofata historia inaongea

CCM ni sooo ila kusema kweli hata mkibadilisha baraza zima tatizo ni kiti cha juu ..the upper most.
 
Hakuna kitu hapo wote lao moja tu, wanachoenda kuhojiwa ni kipi hapo wakati watz tayari tumesha umia na utendaji wao mbovu..!!!!!
 
Back
Top Bottom