Mawaziri mpo wapi, mbona hatuwasikii mara baada ya uapisho?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,942
3,817
Naona wameingia mitini na ile kasi waliyoingia nayo sasa imepotea kabisa, tunaemuona ni Rais Samia na Waziri Mkuu kunani hizi ziara zilitakiwa kufanywa na mawaziri au mmenuna kwa kuwa kuna jicho linaangaza posho zenu?

Mishahara mlipwe posho mzikwapue kwa kazi gani kubwa kihivyo? Mkitumbuliwa msije kupiga makelele, wapo watu wengi wanazihitaji hizo nafasi, hata huku upinzani tupo.

Rais, kama hao mawaziri ni wazururaji huku upinzani kuna wachapa kazi. Mbona akina Anna Mghwira walichukuliwa kutoka ACT?
 
Siku hizi hakuna kudemka mzee ni kazi tu.
 
Back
Top Bottom