Mawaziri mizigo ndani ya chadema pia wamo.

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Wadau! Kwa wiki kadhaa sasa kumekua na sintofahamu na hatma ya mawaziri wapato 7 wanaotoka ktk serikali ya CCM.Hii imetokana na utendaji wao unaotiliwa shaka na CC ya chama hicho hali iliyopelekea kuhojiwa na natathmini utendaji wao kama wanafaa kuendelea kushikilia nyadhifa hizo. Katika hilo tunamwachia maamuzi yule alowateua yeye ndo wa mwisho atajua nini afanye.

Kwakuangalia mukhtadha wa hayo hayo yaliotokea ndani ya Baraza la mawaziri nina imani endapo Chadema ingepata nafasi ya kuunda serikali 2010 basi hali ingekua tete zaidi.
Mizigo ya mawaziri wa Chadema ingekua mingi zaidi kuliko hii mizigo inayofichuliwa sasa hivi toka ccm.

Lema angekua mzigo
Msigwa angekua mzigo
Sugu angekua mzigo
pitia kazi zao na nafasi zao kama mawaziri vivuli.
Sina uhakika baraza lingeundwa kwa mtindo upi.
 
Wanachama makini wako mbali na minyukano hii ya akina Zito na Lema. Watu kama
Prof. Abdalah Safari
Prof.Mwesigwa Baregu
wanafahamu hakuna wizara iongozwe na mtu kama Lema halafu asiwe mzigo.
 
Kama kaati kuu ya chama cha mizigo imekubali hoja ya kwapo mwaziri mizigo, basi, tutarajie kuona mafuso yakiwa na number zifuatazo: W KLC, NW KLC, W EMU,NW MEU, etc.
l
 
title na maelezo havichangamani kwa sababu umevibananga!

Ni kwamba hujaelewa au nawewe ni mzigo?
Ina maana hujui kambi ya upinzani bungeni wana mawaziri vivuli na kati yao mizigo imo?
 
Ni kwamba hujaelewa au nawewe ni mzigo?
Ina maana hujui kambi ya upinzani bungeni wana mawaziri vivuli na kati yao mizigo imo?

kama unafahamu nyakati na hali kwenye kiswahili utajua nilichokisema. labda uwe mzigo mwenzangu
 
Hata Democrat na republican huwa na mawazri mizingo! kinacho umiza ni kwa aliyeurundika hiyo mizigo (Ya CCM) yaani Rais anruhusu kmati kuu kutumia pesa kujadili Malumbesa/mizigo yake /wakati alisema Urais wake hauna ubia.
 
Onyesha kosa lilipo msomi wa lugha. Kipi hujaelewa ueleweshwe?

[h=2]Mawaziri mizigo ndani ya chadema pia wamo.[/h]
Wadau! Kwa wiki kadhaa sasa kumekua na sintofahamu na hatma ya mawaziri wapato 7 wanaotoka ktk serikali ya CCM.Hii imetokana na utendaji wao unaotiliwa shaka na CC ya chama hicho hali iliyopelekea kuhojiwa na natathmini utendaji wao kama wanafaa kuendelea kushikilia nyadhifa hizo. Katika hilo tunamwachia maamuzi yule alowateua yeye ndo wa mwisho atajua nini afanye.

Kwakuangalia mukhtadha wa hayo hayo yaliotokea ndani ya Baraza la mawaziri nina imani endapo Chadema ingepata nafasi ya kuunda serikali 2010 basi hali ingekua tete zaidi.
Mizigo ya mawaziri wa Chadema ingekua mingi zaidi kuliko hii mizigo inayofichuliwa sasa hivi toka ccm.

Wakiitwa wasomi hata mkuu sitikisi, achilia mbali usomi wa lugha.

red: unaonesha unao uhakika na unachokisema.
bold: ni hali ya masharti yasiyoweza kutimilika (jambo lisiloweza kutokea)

Hivyo, kumekosekana usilisila kwenye usuli na kiini cha matini yako kwa sababu ukisoma kichwa cha habari, unategemea kutajiwa hao mawaziri mizigo lakini ukisoma maelezo inaonekana hao mawaziri mizigo hawapo ila wangekuwapo endapo.......

hicho ndicho kiwango cha uelewa wangu. ueleweshwaji tafadhali
 
Wanachama makini wako mbali na minyukano hii ya akina Zito na Lema. Watu kama
Prof. Abdalah Safari
Prof.Mwesigwa Baregu
wanafahamu hakuna wizara iongozwe na mtu kama Lema halafu asiwe mzigo.

uliwahoji wazee wetu hao kuhsu lema au ni feelings zako? au watamani wangeona mambo kwa mtizamo wako? labda ungewapata wakupe maoni yao ndo post ingekuwa reliable ....
 
moshi/arusha, uchagani

mkabila weye...unapigilia misumari hoja ya ukabila na udini kupandikizwa na ccm...zungumza TANZANIA, waza TANZANIA, penda TANZANIA. mengne yote ni najis..hayatatuacha salama. tafakari..chukua hatua. acha chuki za kikabila.
 
Back
Top Bottom