Makamee
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 2,029
- 1,191
Wadau! Kwa wiki kadhaa sasa kumekua na sintofahamu na hatma ya mawaziri wapato 7 wanaotoka ktk serikali ya CCM.Hii imetokana na utendaji wao unaotiliwa shaka na CC ya chama hicho hali iliyopelekea kuhojiwa na natathmini utendaji wao kama wanafaa kuendelea kushikilia nyadhifa hizo. Katika hilo tunamwachia maamuzi yule alowateua yeye ndo wa mwisho atajua nini afanye.
Kwakuangalia mukhtadha wa hayo hayo yaliotokea ndani ya Baraza la mawaziri nina imani endapo Chadema ingepata nafasi ya kuunda serikali 2010 basi hali ingekua tete zaidi.
Mizigo ya mawaziri wa Chadema ingekua mingi zaidi kuliko hii mizigo inayofichuliwa sasa hivi toka ccm.
Lema angekua mzigo
Msigwa angekua mzigo
Sugu angekua mzigo
pitia kazi zao na nafasi zao kama mawaziri vivuli.
Sina uhakika baraza lingeundwa kwa mtindo upi.