Mawaziri kuwajibika au kuwajibishwa ni kuwaonea!

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
0
Nadiriki kusema mawaziri waliojiuzulu isipokuwa Nchimbi wameonewa.Mtu wa kwanza kujiuzulu au kuwajibishwa ni Jk kwa kuwa ndio amiri Jeshi mkuu,wa pili ni waziri mkuu- Pinda,Mkuu wa majeshi Davis Mwamnyange,IGP-Said Mwema.Kuwawajibisha Mawaziri isipokuwa Nchimbi ni kuwaonea tu kwani wao wanatimiza agizo kutoka juu. Hatuwezi kuwawajibisha bila kumgusa Pinda kwani tunawaonea ilitakiwa Pinda awajibike au awajibishwe!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom