Mawaziri Jenister Mhagama na Damas Ndumbaro hawana upendo kwa wafanyakazi kabisa

Ndumbaro unamuonea bure ndugu yangu!

ni mtu poa sana pale utumishi! anapambana sana kuhakikisha haki znapatikana, ukikutana nae wakat wa shda zako kiofis ndio utajua alivo mpenda kisaidia!

pia kuna dada mmoja pale sjui Kwa ma approver anaitwa JEANFRIDA Mungu ambariki huko aliko! anapga kaz sana , ana roho ya upendo, anajali haangalii umri! anajua shda za watanzania! sku moja apewe hata ukatibu mkuu hapo utumishi!

ila sasa kuna limbandanga moja hiviiii linaitwa ADERA weeee jinga hilo korofiiii kaz kugombana na wafanyakaz wanaokuja na shda mbalimbali! sjui toto la mkubwa gani pale wangelitoa halina msaaada haliangalii hata watu waliolizidi umri lina mambo ya ajabu kutwa kutafna karanga tu fyuuuu
May be! Lakini wewe hujiulizi why tangu awe pale Utumishi mishahara haijapanda?
 
Hao akina ngumbaro ni watu waliojaa ubinafsi na roho mbaya kwa wengine kwa sababu wao wanakula mishahara minono na kuogelea kwenye miposho ya hapa na pale, nyumba bure, usafiri bure, umeme na maji bwerere.
 
Wanaoangusha wizara ya utumishi ni waandamizi hasa maafisa utumishi.Kwa mfano kwenye zoezi Hilo la kupandisha vyeo watumishi, baadhi ya maafisa utumishi hawajaweka wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupandisha vyeo na madaraja, lengo kuu ni kutengeneza urasimu.

Ingependeza Sana katibu mkuu utumishi na waziri watoe amri kwa maafisa utumishi wote kuweka wazi majina yote ya wanaostahili kupandishwa ili wale wote wanaostahili wawepo.Nje ya hapo ni shida.
 
Mleta mada sijaelewa hebu nieleweshe hapa kidogo:-

"Kuna uhusiano gani kati ya watu wanaotoka Ruvuma NA kujali maslahi ya wafanyakazi?

Unless otherwise utuombe msamaha watu wa Ruvuma.
 
Back
Top Bottom