Mawaziri hawapo bungeni kabisa


G

GOTILANGU

Senior Member
Joined
Aug 23, 2013
Messages
182
Likes
0
Points
0
G

GOTILANGU

Senior Member
Joined Aug 23, 2013
182 0 0
Huku mijadala inayowahusu wizara tokana na ukaguzi wa CAG ikiendelea mawaziri bungeni hawapo nani atasikiliza vilio vya wananchi kupitia kwa wabunge wao? Au hawa mawaziri wanaongoza majimbo yao tu au wanawatukana wananchi waliowachagua kwakutofanya majukumu waliopewa na wananchi au hata protocol ya heshima kwa waziri mkuu hakuna wakimaanisha nao hawamtaki waziri mkuu kwa kutokumheshimu au wamechoka na majukumu yao na kama hvy mbona posho twachukua. Huu ni utumiaji mbovu wa kodi zetu na madaraka waliopewa.

Hii ndio Tanzania manaibu 2 na mawaziri 4 tu ndio walikuwemo bungeni spika eti waliomba ruhusa na huku report ya CAG ikijadiliwa Waziri mkuu alikuwa anahudhuria Graduation. Mbunge wa CCM
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,678