Mawaziri hawa wasipochukuliwa hatua nitajua kweli Nchi hii inaongozwa na Vipofu

Pampuka

Senior Member
Jul 16, 2012
199
90
Kwa mujibu wa Taarifa ya kamati ya bunge iliyoundwa na Bunge kwa ajili ya kuchunguza athari zilizojitokeza ktk operation tokomeza. Ripoti hii nimesikiliza, nimesikiliza pia michango ya wabunge. Kilichopo kwenye riport ni aibu kwa serikali ya CCM na huwezi amini kama walifanya haya ni Waatanzania wenzetu na kwa hisia za michango ya wabunge Kagasheki, Mkuchika, Nchimbi, Nahodha, Mathayo na Chikawe hawasameheki na hamna namna lazima waachie ngazi. Nchi hii ni ya ajabu sana, jama polisi wa nchi hii hawana aibu kwa walioyafanya. Na kama leo hawa mawaziri kama hawataachia ngazi bas tutaamini zaid kuwa tunaongozwa na vipofu.
 
Mzee heading ina ukakasi ,kwani wewe vipofu unaaweka katika fungu gani mpaka washindwe kukuongoza?
 
Sawa kabisa but UPOFU si dhambi labda kuinogesha Tumia neno zuri kama MAFISADI au hata MAJANGILI naona linafaa tu
 
Kwa mujibu wa Taarifa ya
kamati ya bunge iliyoundwa na Bunge kwa ajili ya kuchunguza athari
zilizojitokeza ktk operation tokomeza. Ripoti hii nimesikiliza,
nimesikiliza pia michango ya wabunge. Kilichopo kwenye riport ni aibu
kwa serikali ya CCM na huwezi amini kama walifanya haya ni Waatanzania
wenzetu na kwa hisia za michango ya wabunge Kagasheki, Mkuchika,
Nchimbi, Nahodha, Mathayo na Chikawe hawasameheki na hamna namna lazima
waachie ngazi. Nchi hii ni ya ajabu sana, jama polisi wa nchi hii hawana
aibu kwa walioyafanya. Na kama leo hawa mawaziri kama hawataachia ngazi
bas tutaamini zaid kuwa tunaongozwa na vipofu.

Usiache kuamini hata wanaoongozwa ni vipofu na visiwi pia
 
Back
Top Bottom