Mawaziri bado waishi mahotelini, Hii vipi wanajamii?

Hii dhambi ya magufuli kugawa nyumba za serikali kwa vimada, laana yake itamwandama mpaka kifo chake na tar 25 oct watanzania wataonyesha hasira zao kwenye sanduku.
 
Yaani Waziri agome kuhamia kwenye nyumba ya serikali.mbona haiingii akilini,ningekuwa Rais ningeweka tu option unahamia au huhamii? Ukigoma kuhamia nateua waziri mwingine we nakufuta.Mbona Simple tu
 
Mawaziri wenyewe mzigo tu nchi ipo kwenye mawe mawaziri wapo kaunta ya hotel wanakula biere na michemsho wa nyama ya ulimi
 
mmh jamani yaani thread zingine zinatia hadi uchungu, sasa bado unakuta mtu anapigia debe current gvt jamani tubadilike, tulete mtu atakaye batilisha mambo haya ya kutafuna pesa za mkulima na mtu mnyonge. Ila tusubiri tu time will tell!
 
Hakuna maamuzi magumu

Nyumba zote zimeuzwa...

Tukaambiwa wamejengewa nyumba sasa sijui wanakaa madereva?

Ukifanya cost analysis utakuta ni fedha nyingi na zinaweza kutosha kuhudumia VISIMA....MADAWATI....VITANDA NA MADAWA pia Uboreshaji wa MIUNDOMBINU
 
Mimi naona tukiwachagua tuwape na mashart kama mgombea ubunge hawez akae pemben
 
nyumba si Tingwa tingwa aliziuza sasa waishi wapi.endeleeni na umbumbumbu wenu wa kuichagua ccm ili mzidi kuwalipia pango
 
Back
Top Bottom