Mawasiliano ya Mheshimiwa Dr. Slaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kwa wale mnaotaka kuwasiliana na mpiganaji mheshi iwa Dr. Slaa I am attaching his business card with all the necessary contact details...

IMG00454-20101108-1318.jpg
 
Hii inaonekana ni business card ya zamani kwani namba zinazoaanza na 0744 na 0748 ni zile za zamani.
 
Hii inaonekana ni business card ya zamani kwani namba zinazoaanza na 0744 na 0748 ni zile za zamani.

Maana ake ameanza kutumia simu zamani, hakuna ugumu wowote hapo, badala ya 0744 wewe weka 0754 na badala ya 0748 wewe anza na 0784
 
Business card imepitwa na wakati he is no longer MP, akaibadili

imepitwa na wakati? = Yes!
Does it serve the purpose = Yes!
tatizo nini? moja kati ya namba katika hizo business card ninaijua na ninathibitsha kwamba ni ya kweli, biz card is for contact details, kwamba si mbunge tena hata mtoto wa drs la saba anajua tayari, issue pale ilikua contact na si title jamani
 
Business card imepitwa na wakati he is no longer MP, akaibadili

ulichoona ni0(MP), Kwani mp ni contact? Aliyeleta mada kasema anatupa contact sio profile upo apo? Ata kama ingekuwa ni profile mp inaweza kaa maana ashakuwa mp.
 
Business card imepitwa na wakati he is no longer MP, akaibadili

ulichoona ni (MP), Kwani mp ni contact? Aliyeleta mada kasema anatupa contact sio profile upo apo? Ata kama ingekuwa ni profile mp inaweza kaa maana ashakuwa mp.
 
Back
Top Bottom