MAWASILIANO YA CCM Vs CUF KUIMALIZA CHADEMA YANASWA

ngurdoto

Member
Aug 19, 2010
58
23
Wana JF, Tunaendelea kuyafanyia kazi kwa undani ili yakiwekwa isije onekana blabla, tupeni muda........ Ila ukweli kuna mbinu na siasa chafu zinafanywa na kundi la mafisadi wa CCM na watetezi wa Haki Sawa kwa wote jinsi ya kupukutisha CHADEMA.
 
let me explain this, wakifanya hivyo, namna cdm watakavyo wa handle ccm&cuf, wakifanikiwa itakuwa ni credit kwao kwani, umma wote utawasikiliza na if they play politics well to out do them(ccm&cuf), cdm wataonekana na umma kuwa wako serius na wanamaanisha, so definately watateka akili za watu na hatimaye kupata nguvu zaidi na zaidi. mfano mzuri ni kampeni 2010, propaganda ccm walizotumia kwa slaa.
 
Wana JF, Tunaendelea kuyafanyia kazi kwa undani ili yakiwekwa isije onekana blabla, tupeni muda........ Ila ukweli kuna mbinu na siasa chafu zinafanywa na kundi la mafisadi wa CCM na watetezi wa Haki Sawa kwa wote jinsi ya kupukutisha CHADEMA.

kupukutisha chadema hawawezi.

sanasana watawatia hasira vijana ambao

  • kwanza ni werevu,
  • hawadanganyiki,
  • wanajua kuwa CCM ni genge la matapeli,
  • wanataka mabadiliko.
 
Back
Top Bottom