Mawasiliano Sumbawanga na Rukwa yakatika; Mkongo wa Taifa waliwa na panya

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
upload_2017-7-11_11-15-57.jpeg

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kampuni ya Simu (TTCL) mkoa wa Rukwa na Katavi Bw. Peter Kuguru wakati alipokagua eneo ambalo Mkongo wa Taifa umeharibika kwa kuliwa na panya Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa.


upload_2017-7-11_11-26-29.jpeg
 
Panya? Hiyo cable expensive balaa. Waiweke ndani ya PVC au galvanized pipe maana steel italiwa na mchwa

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Nawaza ugumu wa materials za huo mkongo unaliwaje

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Ze rat chewing of ze mukonga ya taifa...!

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom