Mawasiliano Ikulu: Zama za Greyson Msigwa vs Salva Rweyemamu

RAY DONOVAN

Senior Member
Jul 2, 2015
153
145
Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio.

Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya kinachoendelea Ikulu zaidi ya mambo ya Rais. Nashauri Ofisi ya Makamo wa Rais nayo ingepata mabadiliko zaidi maana ni kama non existent

Wana JF mna maoni gani?
 
Mkuu mbona wanaupdate sema wanaweka kama makala kwa kuweka hotuba za mhe wanachukua muda mrefu kuedit kipi waweke kipi waache
 
Wanajitahidi. Hongera kwao.

Na siku hizi ni rahisi sana kufanya yoyote unayopewa. Ni kuangalia hata kwingineko duniani wanafanyaje kazi kama unazo fanya hapa Tanzania.

Na kwa kuwa yuko ofisi namba moja nchini naamini kila msaada atakao kuboresha kazi zake atakuwa anaupata na kwa wakati.
 
Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio.

Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya kinachoendelea Ikulu zaidi ya mambo ya Rais. Nashauri Ofisi ya Makamo wa Rais nayo ingepata mabadiliko zaidi maana ni kama non existent

Wana JF mna maoni gani?
Kinachoendelea ikulu zaidi ya mambo ya Rais unamaanisha nini?
 
ananikera na mitaarifa mirefu mirefu,mara ananukuu hiki,mara anamnukuu yule,tena anatumia fonts ndogo sana lakini bado taarifa ina kurasa mbili tatu,

pili aina yake ya uandishi haina mvuto wa lugha kumfanya msomaji apende kuendelea kuisoma,mimi huwa naziweka pembeni baadhi ya sehemu.

msigwa ni mzuri kwenye oral presentation,nafikiri apate msaidizi kwenye written ambaye atajua ku samaraiz.
 
Kurugenzi ya Jakaya ilijaa wasomi. Hii ya Magufuli hakuna kitu... Ebu fikiria..

Rweyemamu Vs Msigwa wapi na wapi

Primi Vs Buhohela wapi na wapi...

Hii ya sasa imejaa shuleless. Ndio maana kwao chochote ni habari... Ya Jakaya ilijaa wasomi hodari. Kwa mfano Buhohela au Msigwa anaweza kuandika speech ya kunegotiate suala la EPA ndani ya EU?
 
buhohela ni wakunyumba
 
Naomba kufahamishwa bwana mdogo Buhohela nackia yuko Ikulu lkn kama nani, maana mwandishi wa rais Jafarry Haniu
 
Kabila kaja kaondoka hawala upload video kwenye Youtube
Rais Kaenda kwa Bakhressa hakuna video Youtube

Ina maana huyo msigwa hana wasaidizi au?
 
Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio.

Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya kinachoendelea Ikulu zaidi ya mambo ya Rais. Nashauri Ofisi ya Makamo wa Rais nayo ingepata mabadiliko zaidi maana ni kama non existent

Wana JF mna maoni gani?
Kuhusu nini?
 
Wiki iliyopita Rais kakutana na mabalozi na staff wa wizara ya mambo ya nje

Mpaka leo Ikulu hawaja upload speech nzima ya rais kwenye youtube

walirekodi lakini hakuna kitu

Mindi kasiga naye hajaset up youtube page ya mambo ya nje

Hapa napenda kusisitiza kuwa hosting ya hizo video youtube ni BURE lakini hawa ndio senior civil servants wetu
 
Kweli mkuu nimetaza youtube kuna vi clip vya dakia 1 au 3 tuuu

muhim Wakaweka vizo video youtube

Mindi kasiga ndio yule dada wa foreign?
 
Back
Top Bottom