Mawakili wasumbufu dawa yao nini?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,875
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa..
Copy ya hukumu ..hawampi..
Ushirikiano sifuri...

Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?

Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii?

What if walikula rushwa?

Je unaweza kwenda wapi kuomba wachunguzwe?
 
Je dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?
Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii?
What if walikula rushwa?
Je unaweza kwenda wapi kuomba wachunguzwe?
Awapeleke TLS wataitwa
 
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa..
Copy ya hukumu ..hawampi..
Ushirikiano sifuri...

Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?

Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii?

What if walikula rushwa?

Je unaweza kwenda wapi kuomba wachunguzwe?
TLS
 
Mimi alinisumbua ktk maushauri pale CMA nikamtoa kwani napambana mwenyewe. Kwani alikuwa. anaacheza na upande wa pili.
 
Mkuu kama maamuzi yametoka nakala ya hukumu hata muhusika anaweza ifwatilia mwenyewe
Ila kumbuka bongo kuna delay za ajabu sana kwenye mambo ya kupata nakala za hukumu
 
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa..
Copy ya hukumu ..hawampi..
Ushirikiano sifuri...

Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?

Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii?

What if walikula rushwa?

Je unaweza kwenda wapi kuomba wachunguzwe?
Kuwa mkweli kwamba ndugu yako atakuwa ni msumbufu katika kutoa professional fee ili wamsaidie jambo lake.
 
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa..
Copy ya hukumu ..hawampi..
Ushirikiano sifuri...

Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?

Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii?

What if walikula rushwa?

Je unaweza kwenda wapi kuomba wachunguzwe?
Nakumbuka Masumbuko Lamwai aliwahi kunyanganywa leseni kwa matatizo kama hayo, alikuwa mahakamani hatokei siku za kesi.

Ziko mamlaka zao za nidhamu za kuwatia adabu.
 
Na wewe utakuta ni wakili halafu unamchoma wakili mwenzako.
Kwahiyo kuwa wakili ndio atetee uhuni wenu?

Kuna baadhi ya mawakili mmelaaniwa mpaka mbinguni, kuna wakili amemtapeli mama yangu yani nia yake mimi nipate laana ya kusimama mahakamani na mama yangu kwa njaa zake huyo wakili kwa huo upuuzi mnaouita professional fee.
 
Back
Top Bottom