Mawakili wanaosimamia kesi ya Mbowe wana uwezo mdogo

Kwa Sabaya mahakama iko vizuri na inapongezwa

Kwa mwenyekiti shida inakuja wenye mamlaka
Tuwache visingizio visivyo vya msingi
Sasa weweee pimbi unaongelea nini hapa? Unalinganisha jambazi na baba paroko? Hizi siasa uchwara zimewafanya kuwa kima kabisa..
 
Wakuu,

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu

Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?

Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua

Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.

Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Kesi ilishaamuliwa Ikulu
 
Nyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ? Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Vipi ya sabaya ina amuliwa nyumba gani
 
Jaji yule yule.
Jaji ni mtafsiri sheria pia mtoa haki. Sijaona hata moja kati ya hayo mawili. Historia ya majaji wa Tanzania ikiruhusiwa kuandikwa kitabu chake kitakuwa rejea ya kati ya michezo maarufu duniani ya kuigiza. Ndiyo maana niliuliza hilo suali kama raia mlipa kodi tu, siyo mwanasiasa!
 
Wakuu,

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu

Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?

Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua

Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.

Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Ungeamua kuongea hapo ulipo na wanao. Hii mada ni ya kina kirefu kwenu Mkuu.
 
Wakili msomi .kuchamba kwingi
Msomi suti tu na mafi mafi,majaji wanajitoa sababu ya mwendelezo wa kesi kila siku.
Kasema jaji kiongozi inatakiwa kesi imalizwe haraka haiishi mara kesi ndogo mara blaah blaa na viswali vingi vya kijinga.kibatali anataka awepo mahakamani daily ndo kula yake ilipo.
Sasa jaji kiongozi kukaa na kesi hizo ambazo kuna majaji chini yake wanamaliza kilaini tu ni undumbwasha.
Kawaachia waendelee
 
Tusubiri ushahidi wa kusudio la kufanya ugaidi maana kwa hakika hakukuwa na tukio la ugaidi.

Matarajio yangu hatutazuiwa kupatahabari mubaa ashara toka mahakamani
Haiwezekaniki kukata rufaa?

Ni naona mawakili wamejenga hoja isipokuwa haki kaamua kubeba upande ule wa pili?

Mfano mtu aliyepigwa na kuteswa si anajulikana kwa makovu au vyeti vya hospitali?
 
Ki
Wakuu,

Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu

Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii

Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi

Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk

Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?

Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua

Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.

Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Mungu ndio hakimu wa haki
 
Hivi Kama nimekushika macho na kukutoa tongo tongo utanisahau kweli. Nimekuteua halafu uje unipinge wakati nilishasema kuwa kwenye hii kesi watu walishafungwa.
 
Kunawatu wanapenda kulalamika na kudeka kama watoto yatima. Aliyeko jela katulia anaaminia mawakili wake watu huku fulu kuwashwa!!

Vijana shupavu kwenye taifa wangesimama na kudai katiba mpya yenye kutoaa usawa kwa kula mwananchi na isiyompa hati miliki ya nchi MTU mmoja!!

Unampa MTU miguvuuu alafu unaanza kumnyenyekea nayeye anakwambia nitawaangalia kwajicho la huruma...what a hell?? Tumekuwa wapumbafu kuliko enzi za mkoloni mweupe!!

Nchi zenye KATIBA DHAIFU hujaa siasa za hovyo,taasisi mfu,viongozi wezi na huwa rais anasifiwa,anaogopwa,anachosema kinafatwa kuliko ilivyo kwa Muumba wetu. Tizama ki "DC" tuu kinaweza tesa watu na wakakosa chakumfanya!! Very stupid and very strange.

Ingekuwa vyeo hagawi MTU kwa maslai yake Leo haki ingepata urahisi kutendwa na kuonekana imetendeka!!
 
Mama alishadokeza muelekeo wa kesi wakati akihojiwa na BBC.
Itakuwa ngumu kweli, ila mwamba namuaminia sana hata akikaa miaka atarudi na moto uleule!
 
Kunawatu wanapenda kulalamika na kudeka kama watoto yatima. Aliyeko jela katulia anaaminia mawakili wake watu huku fulu kuwashwa!!
Vijana shupavu kwenye taifa wangesimama na kudai katiba mpya yenye kutoaa usawa kwa kula mwananchi na isiyompa hati miliki ya nchi MTU mmoja!!
Unampa MTU miguvuuu alafu unaanza kumnyenyekea nayeye anakwambia nitawaangalia kwajicho la huruma...what a hell?? Tumekuwa wapumbafu kuliko enzi za mkoloni mweupe!!
Nchi zenye KATIBA DHAIFU hujaa siasa za hovyo,taasisi mfu,viongozi wezi na huwa rais anasifiwa,anaogopwa,anachosema kinafatwa kuliko ilivyo kwa Muumba wetu. Tizama ki "DC" tuu kinaweza tesa watu na wakakosa chakumfanya!! Very stupid and very strange.
Ingekuwa vyeo hagawi MTU kwa maslai yake Leo haki ingepata urahisi kutendwa na kuonekana imetendeka!!
Uko sahihi Mkuu. Kesi Kama hii uwezi ukapeleka kwenye mahakama za Kenya. Mahakama ambayo imetengua hata matokeo ya raisi aliye madarakani.utapekeka utumbo wa aina hii utaanzia wapi?. Hilo KATIBA MAVI la hii Tanzania hata ukiweka INZI awe rais hatapiga mtu risasi na huyo INZI asiojiwe na yeyote. Sababu katiba letu linaruhusu unyanyasaji.ndiyo maana hata watu Kama kina sabaya wapo wengi serikali.
 
Back
Top Bottom