Mawakili wa Lisu kuweni macho, kukosea hati ya kiapo si jambo la Afya hata kidogo.

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,352
73,926
Hivi ni vitu vidogo katika legal drafting, kukosea vitu vidogo kama hivyo, inaonyesha kutokuwa makini kwa kiwango kinachotarajiwa. This is a very sensitive case, one mistake three goals! One would expect diligence of the highest order!
Take care, please!
 
Kwanza mimi siyo dogo nadhani nakuzidi miaka 60! Pili nakuwekea kesi usome maana nyinyi kutoka Kampala University mna matatizo! What type of human errors are admissible?

Dogo Inaonesha uwezo wako na fikira zako ndio zilizo pelekea kuitwa dogo

Umejuaje umemzidi mtu miaka 60 ,bado kijana mdogo una mengi ya kujifunza tuliza jaziba zako
 
Dogo Inaonesha uwezo wako na fikira zako ndio zilizo pelekea kuitwa dogo

Umejuaje umemzidi mtu miaka 60 ,bado kijana mdogo una mengi ya kujifunza tuliza jaziba zako
Amekimbia tayari, naona umemtisha kwa hoja Mkuu
 
Hilo ni tatizo la kibatala,sijui huwa ana papara,ipo pia kesi alionewa huruma akaambiwa akarekebishe kiapo chake
 
Back
Top Bottom