Mawakili wa Lisu kuweni macho, kukosea hati ya kiapo si jambo la Afya hata kidogo.

R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,004
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,004 2,000
Hivi ni vitu vidogo katika legal drafting, kukosea vitu vidogo kama hivyo, inaonyesha kutokuwa makini kwa kiwango kinachotarajiwa. This is a very sensitive case, one mistake three goals! One would expect diligence of the highest order!
Take care, please!
 
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,852
Points
2,000
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,852 2,000
Imekosewaje? Embu funguka vizuri.
 
R

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,004
Points
2,000
R

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,004 2,000
Huyu dogo bado atakuwa yupo mwaka wa kwanza au pili katika masomo yake ya sheria. Hivyo Hajui kwamba human errors ni excusable in legal practice.
Kwanza mimi siyo dogo nadhani nakuzidi miaka 60! Pili nakuwekea kesi usome maana nyinyi kutoka Kampala University mna matatizo! What type of human errors are admissible?
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,478
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,478 2,000
Kwanza mimi siyo dogo nadhani nakuzidi miaka 60! Pili nakuwekea kesi usome maana nyinyi kutoka Kampala University mna matatizo! What type of human errors are admissible?
Dogo Inaonesha uwezo wako na fikira zako ndio zilizo pelekea kuitwa dogo

Umejuaje umemzidi mtu miaka 60 ,bado kijana mdogo una mengi ya kujifunza tuliza jaziba zako
 
She loves Me

She loves Me

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Messages
765
Points
1,000
She loves Me

She loves Me

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2017
765 1,000
Betri sichomoi ila kuni nitachochoea sana
Dogo Inaonesha uwezo wako na fikira zako ndio zilizo pelekea kuitwa dogo

Umejuaje umemzidi mtu miaka 60 ,bado kijana mdogo una mengi ya kujifunza tuliza jaziba zako
 
Jimbi

Jimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Messages
1,443
Points
1,500
Jimbi

Jimbi

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2010
1,443 1,500
Dogo Inaonesha uwezo wako na fikira zako ndio zilizo pelekea kuitwa dogo

Umejuaje umemzidi mtu miaka 60 ,bado kijana mdogo una mengi ya kujifunza tuliza jaziba zako
Amekimbia tayari, naona umemtisha kwa hoja Mkuu
 
L

Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
241
Points
500
L

Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
241 500
Huyu dogo bado atakuwa yupo mwaka wa kwanza au pili katika masomo yake ya sheria. Hivyo Hajui kwamba human errors ni excusable in legal practice.
Usisahau kuwa kila jaji has his/ her differnt degrees of tolerance. Defective affidavit may become fatal mkajikuta mnaanza safari hii ndefu upyaaaaaa
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
21,609
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
21,609 2,000
Hilo ni tatizo la kibatala,sijui huwa ana papara,ipo pia kesi alionewa huruma akaambiwa akarekebishe kiapo chake
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
4,074
Points
2,000
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
4,074 2,000
Hilo ni tatizo la kibatala,sijui huwa ana papara,ipo pia kesi alionewa huruma akaambiwa akarekebishe kiapo chake
Either ni kujiamini sana au anaweka mlango wa nyuma!..aka..akiba ya maneno!
 
Forum statistics

Threads 1,336,569
Members 512,660
Posts 32,543,782
Top