Mawakili wa Chadema wajitoe tu kwenye kesi ya Mbowe!

Lissu alishawaambia kuwa wasimtete mtu yeyote wamuache mbowe serekali iamue wenyewe
 
Ushauri wa kitoto sana huu...

Halafu wakijitoa ili iweje? Ndiyo makosa (kama yapo) yanafutika, au...?

Mambo yako mahakamani. Ni lazima kila kesi iende mpaka mwisho bila kujali matokeo yatakuwaje...

Haki haipotei ila hucheleweshwa tu. Na mtu mwenye haki siku zote atabaki kuwa mwenye haki tu bila kujali wanadamu wanasemaje au wanahukumuje...

Yesu Kristo ni Mungu. Alishitakiwa kiuonevu kabisa. Hakuwa na kosa lolote. Pamoja na uwezo wake wote wa ki - Mungu ambao angeweza kuutumia kuwafanya lolote watesi wake, lakini hakufanya jambo hilo bali aliwaacha wapumbavu wafanye upumbavu wao na mwisho AIBU ilikuwa yao maana kila mmoja alilipa gharama ya uovu wake..

Hata hawa waache waendelee na hila na uovu wao lakini mwisho wao utakuwa ni AIBU na MAUMIVU makubwa na ya milele....

..wajitoe, Jaji awahukumu, halafu wakakate rufaa ktk mahakama ya rufani.
 
No...kwa sasa hivi wasijitoe.Jinsi wanavyoendelea na kesi ndivyo wanavyo wavua nguo.
Kibatala ni mtu mwenye akili saana.atazitumia case study zilizotolewa na Jaji wa hii kesi kumuachia Mbowe

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli lakini kumbuka wanazid kupoteza muda,na mbowe anaendelea kusota gerezani..Ni Bora hicho kilichopangwa na Serikali kitimie mapema badala ya kuzunguka sana.
 
..wajitoe, Jaji awahukumu, halafu wakakate rufaa ktk mahakama ya rufani.
Sababu za kujitoa zitakuwa zipi labda?

Zitajengwa katika msingi upi wa kisheria?

Kuna kesi katika kumbukumbu ambayo wakili/mawakili walijitoa na hukumu kutolewa na aliyehukumiwa akakata rufaa na kwenda kushinda ktk mahakama y juu...?

Je, kwanini wasiendelee kesi na kuweka kila kumbukumbu ya makosa ya Jaji kisheria na huko mbeleni wakijua na kutumia hizo "hila" za Jaji wakakata rufaa...?

Mimi nadhani kuendelea na kesi hadi mwisho ni option nzuri zaidi kuliko kujitoa kwa staili anayopendekeza mtoa mada...

Na kama ni lazima, na wana sababu za msingi na za kisheria, washitakiwa wao ndiyo wamkatae Jaji kwa kusema hawana imani naye huku wakitoa sababu za kisheria na zinazoungwa mkono na ushahidi wenye nguvu...
 
..mawakili wajitoe

..na washtakiwa wasiweke mawakili wengine.

..utetezi wao ubakie kuwa ni kutokana mashtaka yote.

..mahakama iendelee na ushahidi wa upande mmoja mpaka itakapotoa hukumu.

..watakapopata rufaa watapata nafasi ya kupinga ushahidi wote mbele ya majaji wa mahakama ya rufani.

..hoja yao ni kuwa hawana imani na Jaji anayesimamia kesi hii, na hawana imani na Jaji Kiongozi ambaye ana mamlaka ya kum-replace Jaji wa sasa hivi.
 
Mkipigwa kwenye sheria mnajifanya mnaonewa,
Mlizoea kuhonga mahakimu na majaji kisha mkajifanya maarufu huku mkitumia rushwa.
Pambaneni kwa uwezo wenu mkishinda basi na mkishindwa tulieni.
Do you have any knowledge about law and judiciary? Kama huna hiyo knowledge basi tulia usome TU comments za wenye kujua!
Na siku nyingine usijaribu hii mbinu ya kuijaribu bunduki kwenye kichwa chako utajijeruhi! Ni nani anayeihonga idara ya mahakama na watendaji wake zaidi ya serikali Yako ya ccm? Rejea uteuzi wa majaji wote ukatae Kwa evidence Kama hawajahongwa vyeo walivyonavyo Sasa!
Mwajiri akikupandisha cheo ni rushwa hiyo na hutoweza kutenda nje ya matakwa yake! Unalitambua hilo au upoupo TU?
 
Mkipigwa kwenye sheria mnajifanya mnaonewa,
Mlizoea kuhonga mahakimu na majaji kisha mkajifanya maarufu huku mkitumia rushwa.
Pambaneni kwa uwezo wenu mkishinda basi na mkishindwa tulieni.
Sawa Mkuu hata Polepole alikuwa na mawazo kama yako.
 
Ushauri wa kitoto sana huu...

Halafu wakijitoa ili iweje? Ndiyo makosa (kama yapo) yanafutika, au...?

Mambo yako mahakamani. Ni lazima kila kesi iende mpaka mwisho bila kujali matokeo yatakuwaje...

Haki haipotei ila hucheleweshwa tu. Na mtu mwenye haki siku zote atabaki kuwa mwenye haki tu bila kujali wanadamu wanasemaje au wanahukumuje...

Yesu Kristo ni Mungu. Alishitakiwa kiuonevu kabisa. Hakuwa na kosa lolote. Pamoja na uwezo wake wote wa ki - Mungu ambao angeweza kuutumia kuwafanya lolote watesi wake, lakini hakufanya jambo hilo bali aliwaacha wapumbavu wafanye upumbavu wao na mwisho AIBU ilikuwa yao maana kila mmoja alilipa gharama ya uovu wake..

Hata hawa waache waendelee na hila na uovu wao lakini mwisho wao utakuwa ni AIBU na MAUMIVU makubwa na ya milele....
Naunga mkono hoja, utetezi uendelee hadi mwisho ili tushuhudie kwa macho na masikio yetu matatizo ya mahakama zetu pamoja na udhaifu wa Majaji na Jeshi letu la Police.
 
Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana na sarakasi nyingi zikiwa zinafanyika pale mahakamani. Kiuweli kabisa napenda kuwapongeza wanasheria wote wanaomtetea Mbowe kwa kipindi chotee lakini pia sio vibaya kama watafikilia na kuafikiana kwa pamoja kujitoa mazima kwenye kesi ya mbowe. Lengo kuu linajurikana kwenye kesi hii ni kumfunga Mbowe tu then kuja kumtoa kwa msamaha wa Raisi. Ndugu kibatala kama unasoma huu ujumbe nawaomba pumzikeni kwenye hii kesi ya ugaidi then serikali itajua nini cha kufanya. Mwishowe wa siku mtakuja kwa wananchi kuanza kulalamika wakati sisi wenyewe tunajua mwisho wa hii kesi ni nini. Watu wengi wanafahamu uwezo wenu ni mkubwa sana lakini hamtaweza kubadirisha kitu chochote hapo zaidi ya kuendelea kupotezana muda tu na kusumbua watu.

Bahati mbaya sana pana kigugumizi:

https://www.jamiiforums.com/threads...u.1939760/[url] Kigugumizi hiki hakuna afya.
 
Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana na sarakasi nyingi zikiwa zinafanyika pale mahakamani. Kiuweli kabisa napenda kuwapongeza wanasheria wote wanaomtetea Mbowe kwa kipindi chotee lakini pia sio vibaya kama watafikilia na kuafikiana kwa pamoja kujitoa mazima kwenye kesi ya mbowe. Lengo kuu linajurikana kwenye kesi hii ni kumfunga Mbowe tu then kuja kumtoa kwa msamaha wa Raisi. Ndugu kibatala kama unasoma huu ujumbe nawaomba pumzikeni kwenye hii kesi ya ugaidi then serikali itajua nini cha kufanya. Mwishowe wa siku mtakuja kwa wananchi kuanza kulalamika wakati sisi wenyewe tunajua mwisho wa hii kesi ni nini. Watu wengi wanafahamu uwezo wenu ni mkubwa sana lakini hamtaweza kubadirisha kitu chochote hapo zaidi ya kuendelea kupotezana muda tu na kusumbua watu.
Mahakamani si mahala pa siasa. Kuna sheria, kanuni na taratibu za kuwa wakili. Hao mawakili wakifanya hicho ambacho akili yako inafikiri (cha kususia kesi) watafutiwa uwakili wao kama alivyofutwa Fatuma Karume. Hawatakuwa mawakili tena nchini hapa.
Kwa akili yako unafikiri kwamba hawa ni mawakili wa Mbowe. Yaani wameajiriwa na kusajiriwa kama mawakili wa Mbowe. You are very wrong bwana mdogo. Hawa ni mawakili wa mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wala si mawakili wa mbowe! Wako pale kuisaidia mahakama.
 
Mkipigwa kwenye sheria mnajifanya mnaonewa,
Mlizoea kuhonga mahakimu na majaji kisha mkajifanya maarufu huku mkitumia rushwa.
Pambaneni kwa uwezo wenu mkishinda basi na mkishindwa tulieni.
In short kichwa chako kimejaa taka tupu,akili/ubongo hauna
 
Jaji anataka aweke historia kwa kumfunga mbowe. Ila tatizo ana bichwa bovu ambalo linashindwa kupambanua na kutambua anajiwekea historia mbovu mpaka anakwenda kaburini itamtafuna.
 
Back
Top Bottom