#COVID19 Mawakili 65 wafariki kutokana na Corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,862
Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona

Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa mwanasheria anayefariki

Machi 16, 2020 ilikuwa ni siku ambayo serikali ilitangaza mgonjwa wa kwanza wa corona na kuweka hatua kadhaa kudhibiti gonjwa hilo, na kwa sasa chanjo zimetajwa kuwa njia salama ya kujilinda na COVID19

====

65 advocates have died since eruption of Covid-19 -TLS

TANGANYIKA Law Society (TLS) in Njombe Region has said a total of 65 advocates had died countrywide since COVID-19 was reported in the country in March 2020.

This was disclosed here by Njombe TLS coordinator Innocent Kibadu at the event to mark Law week held at the court grounds, adding that the Covid-19 effects not only ended in taking the lives of the loved ones, but also extensively impacted on economic wellbeing of the private advocates and their families saying that 65 lawyers died.

Speaking on behalf of Njombe Regional Commissioner, Njombe District Commissioner Kissa Kasongwa said the community is supposed to come up for Covid-19 vaccination because it was safe for human beings.

"The vaccines are available at all vaccination centres, it is safe, go to get vaccinated to be safe,” he said.

Senior magistrate from Njombe Resident Magistrate Court, Liadi Chamshamaa said the introduction of online court will assist to reduce the backlogs of court cases.

"In addition, the system will ensure achievement as it will reduce the number of many cases filed in the court according to the law,” he added.

The first Covid-19 patient was reported in the country on March 16, 2020 whereas the government imposed a range of prevention and containment measures including closure of schools, colleges and universities.

The Guardian
 
Kuna mwanangu mmoja sana alikuwa wakili alafu alikuwa bado kijana, kifo chake kilinigusa sana

Rest easy Hansipo Josephat

Ova
 
Back
Top Bottom