Mawakala wenzangu njoeni tuzungumze kuhusu haya makato mapya

hahah mkuuu umeua ,na sasahivi nawakamua kweli kweli sina mchezo na hela.daily natumiwa sms na namba ngeni et yan mbona ofisini kwako makato ni madogo .kuna mmoja alikuja kutoa laki 7 nikala faida ya 15k chap chap,nika kaa kidogo akaja wakutoa laki mbili nikala 5k chap chap.badae nikaweka na miguu juu ya meza,
Ebu fafanua mnafanyeje ilitupate elimu na sisi tupate faida.
 
hahah mkuuu umeua ,na sasahivi nawakamua kweli kweli sina mchezo na hela.daily natumiwa sms na namba ngeni et yan mbona ofisini kwako makato ni madogo .kuna mmoja alikuja kutoa laki 7 nikala faida ya 15k chap chap,nika kaa kidogo akaja wakutoa laki mbili nikala 5k chap chap.badae nikaweka na miguu juu ya meza,
Toa maujuzi hayo.
 
Lipa kwa mpesa now c wanakata???
 
Back
Top Bottom