Mawakala wanaosajili line za Tigo wanapojaza taarifa zako Hakuna sehemu ya kujitambulisha?

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,636
6,261
Mawakala wa tigo wanaosajili line wanapotuma taarifa zangu za usajili Hakuna sehemu ya kujitambulisha kwa mimi. Natuma taarifa za Kuomba asajiliwe kutumia namba...?

Mbowe alisajiliwa Tigo na aliyemsajili haonekani.
 
Kwa msingi huo ni kwamba ile sio line ya Mbowe... Hackers washafanya yao.
 
Back
Top Bottom