Mawakala wa siasa chafu tanzania - name and shame them | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wa siasa chafu tanzania - name and shame them

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshindo, Mar 23, 2011.

 1. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huku tukifahamu matatizo mengi yanayomwandama mtanzania leo na hali mbaya zaidi ambayo kama mambo yasipobadilika, atakuwa nayo kesho. Na huku tukifahamu kuwa ujinga - ambaye wakati mmoja tulimwita adui - sasa unavyotumika kama mtaji wa kundi fulani la watu katika ulingo wa siasa kupora haki za wengine katika staili ya wajinga ndio waliwao. Ninaliona wimbi la ongezeko la wasanii wanaokodiwa kila uchao na kikundi hicho cha waporaji wa kisiasa kutumia "sanaa" yao katika kuhakikisha maslahi yao yanalindwa na kuendelezwa. Wasanii hawa wametumia majukwaa mbalimbali waliyoyapata kutokana na "vipawa" vyao kueneza siasa chafu kuwapaka mafuta waajiri wao (wanasiasa waporaji) na kuwapaka matope wanaharakati wanaoonekana kuijua kweli na kuhoji uporaji kila linapotokea suala zito la kitaifa. Kwa namna kiwango cha ujinga kilivyoatamia sawia sehemu kubwa ya jamii ya watanzania, siasa hizi chafu aghalabu hupata wateja wa kutosha tu na hivyo kukidhi mahitaji yao (ujinga wetu faida yao). Nimewaona sanaa yao katika uchaguzi mkuu, suala la katiba, dowans,maandamano ya arusha na mengine.
  wapo wengi,lakini kwa kuanzia ninawaangalia hawa:

  1. Eric shigongo
  2. Ephraim Kibonde
  3. Abdrahman Kinana
  4. Tambwe Hiza
  Na wengine ongeza hapo...
  Ninapata shida moja ya msingi. Wataendelea mpaka lini? na je hatuna wajibu wa kuwapinga? na kama tunao tutumie njia gani?
  Kwa kuwa ninaona common trait moja katika wote hapo juu - kiwango kidogo cha elimu na ufahamu - ninapendekeza kwa kuanzia, yeyote mwenye kujua, atujuze CV zao au hata tu achievement zao kitaaluma. Uthibitisho ni wa muhimu. Nina taarifa za viwango vya ufaulu vya kinana na kibonde, lakini natafuta uthibitisho kwanza,nikipata nitauleta inshallah. Tuweke wazi hapa, tupate nafasi ya kujua, kuwajua na kuwajuza wengine. Ni zama za uwazi hizi ambazo hata matokeo NECTA yanawekwa majina wazi na si namba tena.
  Let's name and shame them!
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kati ya wote uliowataja hapo juu hakuna degree holder hata mmoja, Kibonde fani yake ni kuambukiza watu ngoma kwa makusudi mtaani, sikiliza anti virus ya sugu
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wakala mbaya na wa hatari kuliko wote hao kwa sasa, na anayetumiwa na JK ni Sheikh Mkuu Shaaban Simba!
   
 4. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Hivi hao ni kina nani? Mbona hamna hata mmoja ninayemfahamu?
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  1.Bashe
  2.UVCCM
   
 6. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio kufuatilia CV zao za kielimu tu, bali the most powerful thing ni kuwaexpose pia. Japo katika watu hatari sana katika jitihada za kuleta mabadiliko nchini (ya kuiondoa CCM madarakani) hawa ndio za leading
  1. Samuel Sitta
  2. Mwakyembe
  3. Magufuri
  4. Anna Kilango Malecela
  5. Ole Sendeka
  6. na wote wanaohiita wanapinga ufisadi huku wakiwa ndani ya CCM.
   
 7. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kibonde ana D moja tu zingine ni F (form Four)
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ubunge wa Kinana kutoka jimbo la Arusha mjini ulikoma 1995 baada tu ya kugundua kwamba hata angeshinda, angetenguliwa mahakamani sababu ni Msomali na uchaguzi ulikuwa ni wakwanza wa vyama vingi!
   
 9. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Wengine ni

  RIDHIWANI KIKWETE
  PAUL JAMES (PJ)
  REGINA MWALEKWA
  RUGE MUTAHABA


  Wana JF waongezee!
   
 10. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  CCM
  TISS
  UVCCM,
  UWT ya CCM
  Jumuiya ya Wazazi wa CCM
   
 11. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160

  Hapo kwenye RED, huyo jamaa ukimsikiliza anavyoongea nonsense kwenye kipindi cha jahazi, you will get the picture how shallow minded he is, alafu the problem is he forces to show people that he is a good analyst while he is ignorant more than a lumpen ploretariat!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Na humu JF tunao makuwadi wao hawa wafuatao;

  1. Kupeng'e a.k.a Maleria Sugu
  2. Hm Haffif
  3. kashaga
  4. Majimshindo
  5. Chatu Dume
  6. Nduka
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Correct, nimekugongea senksi, lakini musimusahau Ridhiwani Kikwete na wahuni wenzie wa UVCCM. Hawa pia ni hatari tupu.
   
 14. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Saigon hao hata majina yao tu yana represent uchafu wao, kwamfano hao wenye red, kupeng`e nick name yake ni KUPE, kupe ni mdudu anaewakilisha uchavu uliokisiri kwa wanyama hatimae kuleta vijidudu kama kupe na viroboto! Kashaga, nick name yake ni KASHA, kasha ni kifaa cha kuhifadhia vitu, vinaweza kuwa vikubwa au vidogo, na vile vile makasha kutumika kuhifadhia UCHAFU.

  Nawakilisha!   
Loading...