Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

Hapa mkuu umetupiga kamba ya wazi wazi! Bora ingekuwa mtandao mwingine ila airtel app yao mpaka hiyo SIM card ndio iwe kwenye simu ndipo unaweza ku-access accout ya Airtel money na account ya Airtel. Mitandao mingine first time registration ndipo inakuhitaji weke SIM card kwa hiyo simu!

Msipende kuwasingizia mawakala! Angalieni circle yenu ndani ya familia!


Wakala anafanya kazi aliyoelekezwa na haruhusiwi kushika simu ya mteja!
 
Back
Top Bottom