Mawakala wa CUF wameipigia kura CCM?

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
 
Mh! Ngoja nipite kwanza nikaangalie mambo yanavyoendelea vituoni!
 
Wanamwamini zaidi baba kupambana na huyu jamaa CDM, kuliko mama...
 
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF

We huoni hiyo idadi ya kura za ssiem ni joint efforts ya helikopta mbili? sasa unasemaje kaf wamepata sifuri?
 
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
kazi tunayo, wakati tukilinda kura zisiibiwe, wapinzani wenzetu wanaungana na magamba
tz tuna chama kimoja cha upinzani cdm, vingine ni vinyoka vya magamba
 
Na inawezekana zile 11,000 za 2010 ndio zimehamia huko sisiem. Kazi ipo kweli kweli!!
 
Inawezekana walitoka nje ya Igunga (kama ilivyofanya CHADEMA)so wakakosa sifa za kupiga kura, ila kusimamia wakawa hawana pingamizi. Lakini pia inawezekana wameipigia kura CHADEMA !!
 
Kweli mkuu maana kwa sasa hata CUF kuna watu wanaganga njaa tu lkn moyoni wanawakubali magwanda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom