Mawakala wa cuf wameipigia kura ccm

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
 
Inawezekana walitoka nje ya Igunga (kama ilivyofanya CHADEMA)so wakakosa sifa za kupiga kura, ila kusimamia wakawa hawana pingamizi. Lakini pia inawezekana wameipigia kura CHADEMA !!
 
Back
Top Bottom