Mawakala wa CDM, CUF, NCCR, NLD Msile Chochote Kesho toka CCM

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,041
1,250
Mbinu mojawapo ambayo CCM wamepanga kuitummia kesho ili kubadili matokeo ni kuwapa chakula,vinywaji,na vitu vidogo vidogo vya kuliwa mawakala wa wa UKAWA katika vituo vya kupigia kula.

Vyakula na vinywaji hivyo vitakuwa vimetiwa madawa ya kulevya ama madawa ya usingizi.

Hii ni mojawapo ya mikakati ya kuhakikisha CCM inashinda katika hali yoyote iwayo.
 

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,595
2,000
Kwani wenyewe hawatakuwa na hela ya kununua hivyo vitu??? Ukawa haijawasaidia wakala wao hata hela ya kula.
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,389
2,000
Tena nilisahau kuwatahadharisha kuhakikisha kuna mawakala wa ziada make ccm hawachelewi kumteka usiku usiku mnaamka asubuhi mnaambiwa wakala wenu haonekani na hamjamuandaa mwingine mapema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom