Mawakala uchaaguzi wa speaker

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
I have a strong feelings kuwa Marando anaweza kushinda uspeaker hasa kutokana na karata za CCM kwenda ndivyo sivyo why
Makundi matatu yatampigia Marando
1.CHADEMA
2.CUF,TLP and NCCR
3.CCM waliokuwa wakimtaka Sitta ie kambi ya Sitta

Mungu ametupa nafasi ingine watanzania hasa wabunge msituangushe.
Tena kuna haja ya kuwa na wakala wa kuhesabu izo kura kutoka upinzani pls
 
Njowepo, hilo kundi la pili hujaliangaza sawa sawa. TLP mbunge wao pekee ni Agustin Mrema. Huyu anaweza kumpa kura shetani lakini si Mabere Marando. Pili Mrema ni mbunge wa CCM aliye upande wa upinzani kwa hisia tu. Katika kampeni zake alikuwa anampigia debe JK. Kwa nini? NCCR na CUF vile vile katika kampeni zao walikuwa wanaonyesha wazi kuwa wanashindana na CHADEMA zaidi kuliko CCM. Kwa mfano, Kafulila atampigia mgombea wa CHADEMA? Sidhani. Uspika siyo big deal. Mapambano yataendelea.
 
I have a strong feelings kuwa Marando anaweza kushinda uspeaker hasa kutokana na karata za CCM kwenda ndivyo sivyo why
Makundi matatu yatampigia Marando
1.CHADEMA
2.CUF,TLP and NCCR
3.CCM waliokuwa wakimtaka Sitta ie kambi ya Sitta

Mungu ametupa nafasi ingine watanzania hasa wabunge msituangushe.
Tena kuna haja ya kuwa na wakala wa kuhesabu izo kura kutoka upinzani pls

kumbuka uchakachuaji pia.
 
fisi jinga linalosubiriaga mkono wa mwanadamu udondoke, katu hamtapata kitu.

mnamchukia mrema kwasababu rekodi yake inadumu ya asilimia 28 huku daktari wa ukweli 26.

mrema ndio baba wa upinzani tanganyika, hawa wengine nguvu ya soda

daktari wa ukweli alifikiri washangaa helikopta ni wapiga kura. marando wenu aliua upinzani baada ya kutumwa na usalama wa taifa amvuruge mrema
 
Kwa kiwango fulani nakubaliana nawe. Kuhusu kura za upinzani, hiyo sahau wengi hawawezi kumpigia Marandu, si unafahamu wivu, vyama vyote bado vinapingana vikumbo kuongoza upinzani. Kwa upande wa ccm, itategemea mgombea atakayepitishwa leo kuwania kiti hicho; akionekana amehegemea upande wa mtandaho maslai makundi mengine ya ccm yanayopingana na kundi hilo uenda wakaona heri wamchague Marandu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom