Election 2010 Mawakala si wana matokeo ya kila kituo?

davidmimbi

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18
Points
0

davidmimbi

Member
Joined Nov 1, 2010
18 0
Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini matokeo ya urais
 

Forum statistics

Threads 1,389,869
Members 528,040
Posts 34,036,802
Top