Mawaidha Yazua Zogo Kwenye Basi

Status
Not open for further replies.

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
4,180
2,000
---- jamaa tangu amepanda basi kutoka Kariakoo yeye amefungulia simu yake loudspeaker. Watu wamemvumilia ile kufika Ubungo jamaa aliyekuwa naye siti moja akambadilikia kwamba aweke earphones au azime simu yake. Hapo ndipo zogo lilipoanzia, abiria wakagawanyika kila mmoja akisapoti upande wake yaani basi zima zogo. Kweli nimeamini Taifa linazidi kugawanyika kidini sijui hatima yake ni nini!? Yaani mpaka nashuka StopOver zogo nimeacha linaendelea ingawa yule jama alishuka Kimara Mwisho, nadhani mpaka Mbezi
 

Kamili Gado

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
386
0
Sasa hiyo ndio habari ya kuleta humu? au ni wewe mwenyewe uliyeweka loud speaker?. sio kila kitu lazma ulete humu
 

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0
Ukitka kusali ingia chumbani kwako. Mungu wako aliye sirini atakusikia. Kuweka loud speaker ni unafiki kwani unataka watu kwenye basi wajue kwamba wewe ni muislamu safi waqt una nyumba ndogo. unakunywa pombe. mwizi n.k. Waumini wa kweli hawajitangazi mbele za watu ila mbele za BWANA
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom