Mawaidha, Mtume anasema Mwanaume yeyote akikuhita Mwananke Godoroni ukakataa unalaaniwa asee

Inahusu waliooana tu. Sikiliza mpaka mwisho.
Yeye kabeba anachokihitaji, kimemtosha hataki kusikiliza mpaka mwisho kuelewa zaidi..

Kifupi asilimia kubwa hizi dini tunaziendea kwa mihemko.

Kila jambo linakuwa na elimu(funzo/lengo) ndani yake, wengi tunasikiliza ili tutoe makosa, na ndio maana huyu kasikiliza hapo hapo, kaishia kuleta jukwaani bila kuelewa zaidi.
 
Ila jamaa alikuwa anapenda vile vimichezo
Hiyo ndio starehe ya dunia.. Wengi tunajitia hatupendi una kamke kamoja bado una michepuko kadha wa kadhaa, jambo ambalo si jema.

Mfano mdogo una mke mmoja ama hata wa4 na una mchepuko pia, mchepuko unaugharamia vizuri tu, sasa kwann asiwe mke, kwanin hizo gharama zisirudishwe kwenye familia..

Kwichi kwichi ndio starehe tanzu duniani.. Hata adam alikuwa peponi, na raha zoote tunazozisikia peponi lakini bado alionekana kamiss kitu akaumbiwa hawa ili anyooshe goti.
Wacha kabisa na KAMNYWESO.
 
Aiseee
 
Akikuhita.!????

Baraza la kiswahili bado tunajukumu zito sana..

Nje ya mada
Mimi mwenyewe nimebaki njia panda...nilidhani mwandishi alimaanisha, 'Akikuhitaji' akasahau kumalizia.

Kumbe alimaanisha 'Akikuita'...kazi ipo🤔
 
Mtume anasema Mwanaume yeyote akikuhita Mwananke Godoroni ukakataa unalaaniwa asee

Britanicca badilisha kichwa cha habari, "kumuita" siyo kumuhita na kusudio ni mume yoyote atakaye muita mkewe kwa ajili ya tendo la ndoa na mke huyo akikataa basi analaaniwa, kwani kunaweza kukamfanya mumewe kwenda kuzini, na hukumu ya mwenye kuzini aliyeoa au kuolewa ni kupigwa mawe hadi kufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom