Mavazi ya wasanii kwenye video sio tatizo, tatizo ni ushamba wa viongozi wetu

Si ajabu unasikia kutoka kwa watu na kama umewaona wanavyovaa basi ni wewe na baadhi tu, lakini hawa ambao wanaonekana kwenye maTV wanaonekana na watu wangapi? Kuvaa kwenu uchi kusiwe ni sababu ya kutuharibia jamii ya watu waliostaarabika
Hamna lolote ninyi!Mkiwaona kwenye TV mnahemkwa?Muwaombe wafiche udhaifu wenu wa kusimamisha maungo ya siri na kusisimkwa miili yenu.Mnatokwa udenda mkiona vipaja vya mabinti.
 
Nimesahau jina la wimbo wa bango flava ambao video yake huwa naona wamebandika "emoji" kila anapojitokeza dada mwenye bikini!
Sasa,weye ukiiona bikini unarukwa akili?Muache kutazama hizo TV. Kila kitu ninyi mnawaza kurukiana na ngono tu.
 
Vijana kila siku mnalia upungufu wa nguvu za kiume hamjiulizi kwa nini? Hata mwanamke kukaa nusu uchi kunakusababishia wewe usione jipya baada ya kukuvulia nguo utapiga kimoja tu na kusepa
Dah.... Umenikumbusha enzi zetu.....ukiona upaja tu......kitu kinashtuka....
 
Vijana kila siku mnalia upungufu wa nguvu za kiume hamjiulizi kwa nini? Hata mwanamke kukaa nusu uchi kunakusababishia wewe usione jipya baada ya kukuvulia nguo utapiga kimoja tu na kusepa
Waambie, Mimi nimekua hata goti la kike nlikuwa silijui, nilipokua mkubwa hata nikiona tu goti network itakamata sana...sasa siku hizi mtu anaona kila kitu mwishoe kijana anaangukia kujichua mwishoe wanasifia konyagi kuupata uanaume....waache wapinge kisa JPM ambaye ni kubwa la maadui kasema., kuna mengi sikubaliani na JPM ila katika hili wala siwezi pinga.
 
Tofautisha kubishana na kuambiwa ukweli.Hivi uchi ni nini? Uchi katika mwili wa binadamu unaanzia wapi na kuishia wapi?Au mwili mzima ni uchi?Inawezekana unang'ang'aniza kitu ambacho hakieleweki mbele wala nyuma.
Unalijua Baibui ,, You Should Wear Like That Uwe Islamic Na Kama Ni Christian Vaa Nguo Ndefu Iliofunika Mpaka Kupita Magot Na Nyuma Isiwe Na Mpasuo FUNIKA HAD KIFUA NA MAKWAPA Mwanamke Kila Kiungo Ni Uchi Kama We Ni Mkristo Makanisa Yenu Yamewadekeza Na Kauli Mbiu Yenu Et MUNGU ANAANGALIA MOYO ,, Hv Unajua W/ke Wa Saud Arabia Hata Gari Hawaendeshi Nyie Mnapewa Uhuru Mnajitanua Wazaz Wenu Wameshindwa Kuwalea Mmeo Anachekelea Vinguo Vya Ajabu Ajabu Sasa Serikari Ikikaa Kimya Mtatembea Na Pichu, I SWEAR MY KID AND MY WIFE HAWATOKUJA KUNISHINDA wala kuweka mjadala kuhusu mavazi
 
usasa mbona hamtembelei mikono badala ya miguu!! Kongole kwa raisi magufuri kwa kupiga vita picha za uchi ...vijana wangapi Leo hii wamekuwa mateja wa puli na kujichua kutokana na hiyo mnayoita "globalization" kwa nini mwanamke awe ni kiumbe dhwalili ktk huu uso wa dunia? hivi na waislamu pia mtampinga raisi kwa hili? Wallah Mimi ni muislamu wa kwanza kusema hadharani na kumuunga mkono raisi wetu ktk hii vita ....mtu anaangalia mziki sijui ndo diamond Mara kamshika kiuno mwanamke aliyevaa chupi tu sa ndo nini? maadili kwanza siasa baadae
Mie naamini Uafrika ni kama vile wenzetu wamaasai wanavyovaa, wale wa kwa King Mswati nk.
 
Unalijua Baibui ,, You Should Wear Like That Uwe Islamic Na Kama Ni Christian Vaa Nguo Ndefu Iliofunika Mpaka Kupita Magot Na Nyuma Isiwe Na Mpasuo FUNIKA HAD KIFUA NA MAKWAPA Mwanamke Kila Kiungo Ni Uchi Kama We Ni Mkristo Makanisa Yenu Yamewadekeza Na Kauli Mbiu Yenu Et MUNGU ANAANGALIA MOYO ,, Hv Unajua W/ke Wa Saud Arabia Hata Gari Hawaendeshi Nyie Mnapewa Uhuru Mnajitanua Wazaz Wenu Wameshindwa Kuwalea Mmeo Anachekelea Vinguo Vya Ajabu Ajabu Sasa Serikari Ikikaa Kimya Mtatembea Na Pichu, I SWEAR MY KID AND MY WIFE HAWATOKUJA KUNISHINDA wala kuweka mjadala kuhusu mavazi
Sasa,umeandika utadhani unamueleza binti yako.Kwako weye baibui tu ndiyo vazi linaloficha uchi?Hakuna mavazi mengine?Na bado haujaeleza uchi unaanzi wapi,sehemu ipi na kuishia wapi?Mmekaza shingo kana kwamba ninyi ndiyo waungwana mso mawaa!
 
Sorry for yourself. Tumia lugha vizuri, sio unatumia lugha vibaya kisa tu watu watachanganua wenyewe. Unadai level yako iko juu zaidi yangu, lakini wewe mwenyewe umeshindwa kujua kuwa ninachokukumbusha hapo ni matumizi sahihi ya lugha. Ninaelewa sana kuwa unataka kumaanisha kuwa hao watu hawaonyeshwi kwenye TV, na ndio maana ukaamua kusema huwa hawakai kwenye Tv. Huwezi kuwa wa level ya juu kama unavyojipambanua na wakati huo huo unatumia lugha ambayo hata aliyeishia darasa la nne hawezi kutumia. Na isitoshe, pia inaonyesha exposure yako ni ndogo sana, yaani hayo makabila kwa kuwa hujawahi kuyaona kwenye TV za hapa Tanzania basi unafikiri huwa hawaonekani kwenye Tv. Ungetuambia kuwa hawaonyeshwi kwenye Tv zetu hapa Tanzania. Usidhani kuwa dunia nzima inafanya mambo kama Bongo. Hebu tafuta movie moja inaitwa The gods must be crazy uiangalie maana huenda hujawahi hata kuiona. Nikuambie tu movie hii imeshaonyeshwa kwenye Tv nyingi tu. Itakusaidia kujiona jinsi level yako ilivyo juu kama unavyojipambanua.
Kwa hiyo kwenye movie ya the gods must crazy wamevaa G-string kama wanavyofanya wasanii wa video za muziki? Kama unashindwa kuwatofautisha wale watu wa kwenye movie ya the gods must be crazy na hawa warembo wanaoonekana kwenye video za muziki basi una tatizo kubwa sana
 
Hivi mnaosema kuvaa nusu uchi ni utamaduni wa Mwafrica hamuoni hayo yalitokea kwa sababu ya uduni wa teknolojia.......kama ndivyo basi tungeacha kuiga elimu,dini,sanaa nw vitu vingi tu toka kwa wazungu tukabakia na vyetu mkaendelea kusisitiza eti ni utamaduni acheni uzwazwa usiokuwa na maana!!
Huyo jamaa amekuwa mjinga,anajifanya anajua kila kitu,chuki yake huwa anaipeleka kwa magufuli waziwazi,Anaumia sana,hana amani moyoni mwake magufuli kuwa rais,ajue hakuna namna magu ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania avumilie tu,na si kukaa kumsema kwa chuki zake eti mshamba.
 
Hamna lolote ninyi!Mkiwaona kwenye TV mnahemkwa?Muwaombe wafiche udhaifu wenu wa kusimamisha maungo ya siri na kusisimkwa miili yenu.Mnatokwa udenda mkiona vipaja vya mabinti.
Nikiwa mwanaume nileyekamilika naachaje kutokwa na udenda? Maungo ya mwanamke ndo udhaifu wa kila mwanaume aliyekamilika, sasa mkiwa kwenye hivyo vi G-string nawezaje kukaa na wazazi wangu niakaangalia? Nyie si ndo mnachochea ngono?
 
MAVAZI YA WASANII KWENYE VIDEO SIO TATIZO, TATIZO NI USHAMBA WA VIONGOZI WETU.

Majuzi nimewasikia Naibu Waziri Habari na Rais Magufuli wakikemea kuvaa nguo za utupu kwenye Video. Ukiwa Mshamba ni mshamba tu hata ungekuwa na cheo Ikulu, hata kama ungekuwa Profesa.

Nchini Swaziland kwa King Mswati mavazi wanayovaa ni nusu uchi kabisa tena mbele ya Mfalme wao mpaka matiti yakiwa nje na huo ndio utamaduni wa Mwafrika tangu kale, wazungu wamechukua kwetu na Leo mnafikiri tunawaiga wao. Mwanamke mvuto bila mwanamke kwenye kazi ya Sana'a mambo haya nogi na ndio maana ukiwa na mke unatamani awe mtupu muda wote ule maisha ya mahaba lakini utupu wa kwenye video ni wa maigizo tu kuvuta watazamaji na ndio maana hawaachii kila kitu.

Mziki ni mvuto na inategemea unafanya mziki wa aina gani na una lenga jamii gani, Mziki wa bongofleva ni mziki unaofikisha ujumbe kwa vijana na mavazi lazima yaendane na ujana, kama ni nyimbo za asili nazo zina mavazi yao na aina yake ya watazamaji, na ndio maana kuna vipindi tofauti redioni kulingana na rika, kama tunataka mziki wa kuuza uswahilini basi tusikilize ushamba lakini kama tunataka mziki wa kimataifa basi lazima twende na wakati na mazingira ya Globolaizesheni.

Kazi njema Viongozi wa Awamu ya Tano.

Deogratius Nalimi Kisandu.
25 Desemba 2017.

Tanzania ina culture yake, Swaziland ina culture yake.

Sisi tunazungumzia utamaduni wetu.

Kama wewe unaona kukaa uchi ndio usasa anza na Dada zako ndugu zako wote wa kikee muanze kutembea na mavazi Yale ya kule kwa mswati.
 
Kwa hiyo mtu huwa uchi akionekana kwenye TV ila akiwa nyumbani /porini hayupo uchi?Ndiyo mawazo gani sasa?
We lini ulimuona mtu wa porini kavaa G-string? mbona unashindwa kutofautisha muonekana wa mtu wa porini na mtu anayeonekana kwenye TV wakiwa kwenye mavazi ya uchi?
 
MAVAZI YA WASANII KWENYE VIDEO SIO TATIZO, TATIZO NI USHAMBA WA VIONGOZI WETU.

Majuzi nimewasikia Naibu Waziri Habari na Rais Magufuli wakikemea kuvaa nguo za utupu kwenye Video. Ukiwa Mshamba ni mshamba tu hata ungekuwa na cheo Ikulu, hata kama ungekuwa Profesa.

Nchini Swaziland kwa King Mswati mavazi wanayovaa ni nusu uchi kabisa tena mbele ya Mfalme wao mpaka matiti yakiwa nje na huo ndio utamaduni wa Mwafrika tangu kale,
Duh!! Swali la kizushi tu, je kuna utofauti kati ya wale wa kwa King Mswati na hawa video queen wa video za muziki katika muonekano
wazungu wamechukua kwetu na Leo mnafikiri tunawaiga wao.
Serious? wazungu wametuiga? hivi kumbe zamani tulikuwa tunavaa G-string badala ya magome!!! nilikuwa sijui kuhusu hili
Mwanamke mvuto bila mwanamke kwenye kazi ya Sana'a mambo haya nogi na ndio maana ukiwa na mke unatamani awe mtupu muda wote ule maisha ya mahaba lakini utupu wa kwenye video ni wa maigizo tu kuvuta watazamaji na ndio maana hawaachii kila kitu.
Ok, kumbe point yako ni huwa unafarijika kuona wanawake wakiwa kwenye mavazi ya uchi
Mziki ni mvuto na inategemea unafanya mziki wa aina gani na una lenga jamii gani, Mziki wa bongofleva ni mziki unaofikisha ujumbe kwa vijana na mavazi lazima yaendane na ujana, kama ni nyimbo za asili nazo zina mavazi yao na aina yake ya watazamaji, na ndio maana kuna vipindi tofauti redioni kulingana na rika, kama tunataka mziki wa kuuza uswahilini basi tusikilize ushamba lakini kama tunataka mziki wa kimataifa basi lazima twende na wakati na mazingira ya Globolaizesheni.
Kumbe wanawake wakikaa au kuvaa uchi ndo ujumbe unafika haraka kwenye jamii
Kazi njema Viongozi wa Awamu ya Tano.

Deogratius Nalimi Kisandu.
25 Desemba 2017.
 
Back
Top Bottom