Mavazi ya kanisani balaaa...

Status
Not open for further replies.

hajjmakwato

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
230
154
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
 
Subirini mumuone ringtone akiharisha majibu ya kiuenda wazimu
 
Maadili ndugu yangu eti kwenda na wakati hata mbele za Mungu. Na wakati wenyewe ndio huo wa kutembea nusu uchi. Kweli hizi zama ni zaidi ya sodoma na gomora. Tatizo jamii haioni labda imejichokea kufunza maadili mema.
 
Unazungumzia kanisa lipi Mkuu.? Ingekuwa vizuri u-specify coz makanisa yapo mengi mpaka yanaomwabudu shetani. So be specific on this!!!

  • A%20S%20wink.gif

Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
tema mate tuwachape wanaovaa vibaya kanisani
 
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Biashara ni matangazo ndugu yangu. Watu tunataka tuone miguu ya bia na compyuta mpakato.
 
Natanguliza smahani kwa wale wote ambao wataudhika....Nauliza hivi wasichana na wanawake kuvaa nguo fupi wanapoenda makanisani wakati waume hutinga suti ni mafundisho au kanisa laruhusu viguo hivo juu ya magoti...kwapa nje ...kubana makalio ..nk
Sio dini ya kweli hiyo.
 
Maadili ndugu yangu eti kwenda na wakati hata mbele za Mungu. Na wakati wenyewe ndio huo wa kutembea nusu uchi. Kweli hizi zama ni zaidi ya sodoma na gomora. Tatizo jamii haioni labda imejichokea kufunza maadili mema.
kabla ya wazungu kutuletea hizi dini tulikuwa tunavaa majani na ngozi za wanyama,yaani tulikuwa robo uchi nafikiri ili kuwa ni zaidi sodoma na gomora!
 
Sio dini ya kweli hiyo.

Nayalaumu makanisa husika kwasababu kama wanaangalia na wananyamaza bas wanachangia kuua kanisa kwa mikono yao

Ila hawa madada wa kizazi hiki wanadai kwani kuna tatizo gani? wao wanataka kuona kwanza tatizo,wamekuwa kizazi kilichosemwa cha kutafuta ishara ndo waelewe na kuamini vinginevyo watakuona hauendi na wakati... hivi Torati si ileile ama nayo inaenda na wakati,eti? sasa mbona nyie mnaenda na wakati wakati Torati haijabadilika ndo ileile ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom