Mavazi ya chadema ni Combat au Magwanda?

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
Hili linawatatiza wengi hawajui au hatuelewi, je Combat ndio magwanda au ni tofauti? Kwa mwenye kufahamu hapa jamvini tunaomba atudadavulie.

wholesale crap !

nitakujibu kwa kifupi- kombati ni neno la weupe lenye maana ya MAPAMBANO AU MAPIGANO. Wakati magwanda ni mavazi yanayovaliwa na hao wapambanaji. mapambano hayo yanahusu vita sio mapambano ya mpira(michezo)

f

mkuu ... ndiyo maana nimesema hii mada ni crap kwani hata mtoa mada hajui maana halisi na toauti kati ya combat na magwanda

Kwa hiyo CDM wanavaa magwanda kama mgambo wa City?

Hili linawatatiza wengi hawajui au hatuelewi, je Combat ndio magwanda au ni tofauti? Kwa mwenye kufahamu hapa jamvini tunaomba atudadavulie.
Ni kama hili hapa: 267301_190972474296001_187249878001594_517085_7258690_n.jpg

kombat ni uniform zinazovaliwa na jeshi la ulinzi zina mabaka mabaka na magwanda ni yale wanaovaa mgambo na chadema.

nitakujibu kwa kifupi- kombati ni neno la weupe lenye maana ya MAPAMBANO AU MAPIGANO. Wakati magwanda ni mavazi yanayovaliwa na hao wapambanaji. mapambano hayo yanahusu vita sio mapambano ya mpira(michezo)

Na miye nitaongeze ili kuboresha zaidi:

"Combat" ni neno la kiingereza lenye maana ya mapigano yenye kuhusisha silaha za kivita (warfare) kati ya jeshi moja na jeshi jingine. Nguo zivaliwazo na wanajeshi wa nchi yeyote ile wawapo katika "operation" za kivita hujulikana kama "Combat Uniform" kwa kuwa zimetengenezwa maalumu kwa ajili hiyo. Combat uniform zinaweza kuwa na rangi mbalimbali na mishono tofauti tofauti.

Neno Combat hapa Tanzania limegeuzwa na kuwa neno la kiswahili "Kombati" ikimaanisha aina ya sare ambayo si ya kijeshi lakini yenye kuonyesha kuwa mtu anayevaa sare hiyo yuko katika shughuli pevu ikifananishwa na mapambano.

Kuna aina ngapi ya "Combat uniforms"

Kila jeshi lina aina yake ya combat uniform, JWTZ, JKT, POLISI, MAGEREZA na MGAMBO. wana Combat uniform zenye rangi tofauti kwa kila jeshi.

Neno "Magwanda" naweza kusema ndio kiswahili cha "Combat uniform".

Mtu mwingine yeyote anayevaa nguo yenye mfanano wa kimshono na zile combat uniform za kijeshi (sio kwa rangi), hiyo nayo itaitwa (ma) gwanda. yaani sare maalumu tofauti na nguo zingine za kawaida.

karibu chamani brootupige gwanda tuwaondoe mafisadi ili waislamu wapate haki yao.
hakuna kitu kilichobuniwa na chadema ambacho ccm hawajaiga,bado tu kusema peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
na wakifikia hapo kwishney.

UKITAKA WAWE WANAVAA KAMA HAYO MASUTI YA MAGHARIBI??KUSHOTO
SAM_0912.JPG

Back
Top Bottom