CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
Hili linawatatiza wengi hawajui au hatuelewi, je Combat ndio magwanda au ni tofauti? Kwa mwenye kufahamu hapa jamvini tunaomba atudadavulie.

wholesale crap !
f

nitakujibu kwa kifupi- kombati ni neno la weupe lenye maana ya MAPAMBANO AU MAPIGANO. Wakati magwanda ni mavazi yanayovaliwa na hao wapambanaji. mapambano hayo yanahusu vita sio mapambano ya mpira(michezo)

f

mkuu ... ndiyo maana nimesema hii mada ni crap kwani hata mtoa mada hajui maana halisi na toauti kati ya combat na magwanda
Huyu wa chama gani na kavaa nini hapa??Kwa hiyo CDM wanavaa magwanda kama mgambo wa City?