Mavazi na Utu wetu

Nov 5, 2013
16
2
Imepatwa kusemwa kuwa kama kuvaa nguo zinazoonesha mwili au zisizositiri mwili ipasavyo ndio usasa (modernity) basi wanyama ni wasasa zaidi! Mavazi yanasema mengi juu ya usalama wa akili ya mtu hususani juu ya namna anavyojiheshimu na kujithamini kama binadamu. Je wewe unasemaje?
 
Hiyo nikweli.binadamu sasahvi tumekua hatuna aibu nikama mnyama.tukiangalia mifano hai kwa kina dada.mtu kuvaa nguo zakuonyesha maumbile yake ni ili iweje?au anataka nani amuone?kama sio wanaume?kwahyo nikweli mavazi pia huonyesha tabia ya mtu.
 
Ukitaka kuona binaadamu walivyokosa nidhamu na kujiheshimu hata mbele ya inada basi nenda kanisani siku za ibada.

Kama uko single lazima upate mfadhaiko.
Manake kina dada magoma yako mwaaaa! Halafu zikipigwa zile kwasakwasa ndani wakiinuka na kuanza kutikisa makalio ndio baaasi tena.
 
Ukitaka kuona binaadamu walivyokosa nidhamu na kujiheshimu hata mbele ya ibada basi nenda kanisani siku za ibada.

Kama uko single lazima upate mfadhaiko.
Manake kina dada magoma yako mwaaaa! Halafu zikipigwa zile kwasakwasa ndani wakiinuka na kuanza kutikisa makalio ndio baaasi tena.

vitabu vya mungu vote hata bibilia imezungumzia juu ya mwanamke kuustir mwili wake.mimi sijui makanisa yaleo yanatumia maandiko yapi yanayoruhusu mtu kwenda nusu uchi kanisani.hapo kuna ibada kweli?nina imani hata padri. mchungaji. na n.k. Huwa wanataman malizawatu pale.
 
Hiyo nikweli.binadamu sasahvi tumekua hatuna aibu nikama mnyama.tukiangalia mifano hai kwa kina dada.mtu kuvaa nguo zakuonyesha maumbile yake ni ili iweje?au anataka nani amuone?kama sio wanaume?kwahyo nikweli mavazi pia huonyesha tabia ya mtu.

Mkuu tatizo la uvaaji sio la wadada tu siku hizi....
Angalia vijana wa kiume wanavyovalia suruali chini ya makalio...
Tena visuruali vyenyewe vinawabana...
Vp kuhusu uvaaji wa hereni na kujikwatua kama wadada.
Hili ni tatizo kubwa kwa sasa kwa wote watoto wa kiume na wakike.
 
Kuiga kunatuponza sana!
Ila wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha kama tukiweza kukemea watoto wetu pindi wakianza kuvaa kiajabu ajabu
 
kanisani kwetu ukija umevaa ovyoovyo unapewa kanga au kitenge..hutaki rudi kwenu
 
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa....

"Ukiona mwanamke anavaa mavazi yanaonesha asilimia ya maumbile yake nje, ujue maumbile hayo yameshaonwa vya kutosha. Hivyo haoni haja tena ya kuyafichaficha"

Sio mimi jamani, nimenukuu tu!!
 
kutojiheshimu

Well said

Mwanamke anayejali utu wake na kujiheshimu katu hawezi vaa half naked

Hao wavaaij na wapitaji barabarani nusu utupu wana yao

Ukijisitiri unamvuta hata mwanamme kutaka kujua unaficha nini...lakini wazi wazi ni kujidhalilisha tu na kutaka kupigiwa miruzi na psii psii!! tabia mbaya
 
Umegusa ninachoamini! Ahsante sana!
 
Well said

Mwanamke anayejali utu wake na kujiheshimu katu hawezi vaa half naked

Hao wavaaij na wapitaji barabarani nusu utupu wana yao

Ukijisitiri unamvuta hata mwanamme kutaka kujua unaficha nini...lakini wazi wazi ni kujidhalilisha tu na kutaka kupigiwa miruzi na psii psii!! tabia mbaya

angalia usiwe na vijitabia kama vyao
 
Mkuu tatizo la uvaaji sio la wadada tu siku hizi....
Angalia vijana wa kiume wanavyovalia suruali chini ya makalio...
Tena visuruali vyenyewe vinawabana...
Vp kuhusu uvaaji wa hereni na kujikwatua kama wadada.
Hili ni tatizo kubwa kwa sasa kwa wote watoto wa kiume na wakike.

nikweli mkuu lakini ikumbukwe kua umleavyo ndivyo akuavyo.siamini kabisa kwamba mtoto aliyelelewa kwenye maadili ya dini na kujiheshmu toka akiwa mdogo kwamba anaweza kuharibika ukubwani kwa kiasi hicho.pamoja na vishawish na n.k.lakini lazma nafs imsute.vipi leo watoto wetu tunavyowavalisha vimini na vinguo vya ajabu?hivi tunategemea akikua atayaacha mavazi hayo?je unategemea tabia zake zitakua njema?
 
Kwanza tukubaliane nguo isiyofaa ni ipi kuna watu nawaheshimu sana wao wanapinga uvaaji wa nusu uchi ila kwangu huwa nawaona wako nusu uchi. Serious tuanzie hapa nguo fupi kwako kwa mwingine huenda ikawa ni ndefu.
Na ukiangalia hii tabia yaenda ikiongezeka na muda mwingine we unayeona ndo waona aibu mwenyw hana habar
 
Back
Top Bottom