Jicho la Ndani
Member
- Nov 5, 2013
- 16
- 2
Imepatwa kusemwa kuwa kama kuvaa nguo zinazoonesha mwili au zisizositiri mwili ipasavyo ndio usasa (modernity) basi wanyama ni wasasa zaidi! Mavazi yanasema mengi juu ya usalama wa akili ya mtu hususani juu ya namna anavyojiheshimu na kujithamini kama binadamu. Je wewe unasemaje?