Mavazi na Sauti za wachezaji Wa mieleka

Hayo MASAUTI ni matokeo yamatumizi ya Performance Enhancing Drugs (AKA) Doping ambazo mojawapo ya HEALTH RISKS ni hayo MASAUTI unayoyazungumzia.
Dawa hizo ziko za aina nyingi kama Anabolic Steroids, Androstenedione, Human Grwth Hormones, Erythropoietin Diuretics, Creatinine, Stimulants N.K
Kaaa hapo nimekupata ndugu bila chenga
 
Kaaa hapo nimekupata ndugu bila chenga

Hayo makitu sio mazuri ! Matumizi ya muda mrefu yakichanganywa na madawa ya kulevya yamepelekea vifo vitokanavyo na matatizo ya moyo. Pia hupelekea watumiaji kuwa na Msongo mkali wa mawazo/Stress kama ilivyotokea kwa Wresler CHRIS BENOIT ambaye mwaka 2007 aliua Mke, Mtoto, na yeye kujimaliza !
 
Daaa sasa shida ni nini hadi wayatumie hayo!?
 
Hafu wanazingua sana,mbona kila siku nikiiangalia mieleka wanaonyesha fixture ya mapambano makali halafu unakuta wanasema 'Roman Reign will face Braun Strowman on this Sunday,halafu majumapili yanapita tu hakuna kinachofanyika!?
 
Inafanyika wewe ndo hufuatilii au hio chanzo unachoangalia ndio ya kiboya. Nunua dstv au Download app
 
Back
Top Bottom