Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 498
- 1,000
Mauzo ya mchele wa Tanzania katika nchi jirani yalipanda hadi dola milioni 303.4 kwa mwaka hadi Septemba 2021, kutoka dola milioni 97.4 mwaka uliopita kutokana na juhudi za Serikali kuboresha biashara ya mipakani na nchi jirani.
Kulikuwa pia na ongezeko la mauzo ya mahindi na maharagwe nje ya nchi.
BOT.
NB: Tanzania inaweza kupata $1bn kwa mwaka kutokana na mauzo ya chakula kwenda EAC, SADC ikiwa Serikali itaipa JKT, Magereza $200m-$400m kwa kilimo cha mashamba makubwa, sawa na Dreamliner moja au mbili tu.
Kwa nini hakuna utashi wa kisiasa wa kuwekeza kwenye kilimo?
Tanzania Business Insight Twitter[/B]