kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
Hajui huyoo kwamba huo mkopo tuu utaisha then ww ndiyo uanze makeke yako au mwenzangu umestaafu?
Sasa bro chukua karatasi uigawanye mara tatu,upande mmoja andika dosari za mkeo,upande wa 2 andika dosari zako na upande wa 3 andika mkakati wa kujirekebisha basi utakuwa uneumaliza huu mgogoro
af hawa ndugu saazingine bila mashambulio ya kudhuru mwili ya hapa na pale hawaendi piga mke aisee asikuletee mazoea
Mtwange yellow card, asipojirekebisha piga pyepyeeeeee then mtwange Red Card atoke ndani na wewe usifanya substation si unajua red card haina substation
miezi sita parefu,naomba twende wote na mie husband haeleweki tukapange mikakati ya ushindi:sick:
"it is more blessed to give than to receive"miezi sita parefu,naomba twende wote na mie husband haeleweki tukapange mikakati ya ushindi:sick:
hehehehe"it is more blessed to give than to receive"
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.
¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.
¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.
¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.
¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.
¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.
¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.
¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.
¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.
¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.
¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.
Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.
Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.