Mauzauza ya mke wangu

¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi.

¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake.

¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa nimeprove kwenye salary sleep zake.

¤ Hana muda nami tena tukiwa home yupo busy na raptop yake, nikitangulia kulala yeye anachelewa kuja kulala, akitangulia yeye busy tu na mambo yake.

¤ Mtaani amesha korofishana na watu kibao.

¤ Mtoto wetu na dada wakazi kila siku wana nambia wewe na mama hamko sawa myamalize.

¤ Hana story tena na ndungu zangu hawapigi simu hata wakimpigia hapokei akipokea majibu yake ni yamkato sana.

¤ Hashauriki hambiliki ,hanisikilizi kabisa.

¤ Majibu yake kwa sasa hanamuda wa kurumbana wala kumnyenyekea mwanaume mtumzima kama mimi.

¤ Sasa nafua mwenyewe nikiwepo nyumbani au dada wakazi.

¤ Ndugu hameshindwa kurudisha upendo unaooweka kila kukicha.

Nataka ni mnyoshe mkewangu wandoa naomba ushauri wenu.

Binafsi nataka niondoke nyumbani walau nikapumzike mbali na jiji hili for 6months.ushauri tafadhari.

Huyo ni mchaga...bisha
 
Mkuu, Hilo nitatizo lipo kwa wanawake wengi na siyo huyo wa Kwako tu, sijui huwa ni kitu gani kwao, yaani wakishapata vijisenti kidogo inakuwa tabu sana, yaani na dharau inakuwa Kubwa kuliko, na sasa huyo wa kwako anamkopo wa 12m, ni shida kubwa..cha kufanya usikimbie nyumba, wewe kuwa busy na mambo yako wala usimsemeshe, ila tafuta house girl ambaye atakuwa anakupikia, anakufulia na hata kukupelekea maji bafuni, yeye si yupo busy...atakapoona hujali atajirudi tu na hasa hako kamkopo kake kakiisha kwenye mkoba wake....wanawake wengine ni malimbukeni sana wa kushika hela....dharau inakuwa kubwa sana....chukua hatua...
 
Mi naona badala ya kuangalia what's wrong kwenye mahusiano yako, angalia what's wrong kwenye maisha yake. Either something is going on ama keshakata tamaa na maisha. Kuna jinsi maisha yake yalivyo hayapendi na ndio maana haoneshi nia ya kuyapigania (ref: anagombana na kila mtu anaemzunguka). Ukiwapata wale ambao hajagombana nao watakusaidia sana kujua tatizo lake, hasa asili ya jinsi anavyowasiliana nao na uhusiano wao na yeye.
Kuna solution mbili either umsaidie kuorganise maisha yake ama u step way. And a real man does not back away from battle...
 
Running from problem wont solve the problem. Komaa nae kama mtu mzima, washirikishe wazee wa familia juu ya tabia hii. Chunguza kama anamchepuko huko nje....na hizo pesa kama hujashirikishwa zimefanya nini...huyo atakuwa na kitu kikubwa kinamsumbua.
 
Kukimbia cyo tatizo wala Zambi, ni imani sepa Mkuu utarudi baadae.
 
Mwambie achague moja,kubadrika au kuondoka
Samaki mkunje angali mbichi
 
Sasa hapo hata unyumba upo kweli?
Cha msingi simama kama mume, atanyooka tu, kukimbia sio suluhisho
 
Haaa haaa mkirudi lazima Asnam utakuwa unatemea mate kwa pembeni looh....
 
Last edited by a moderator:
umemuoa? au amekuoa? kwa umri nilionao sijapata kuona mwanaume akikimbia nyumba eti kisa haelewani na wife...

mwanaume hakimbii tatizo hio likizo ya miezi sita ulitakiwa wewe ndo umpe huyo mkeo aende kwao akajirekebishe..
Lakini wewe ukiondoka amini nakuambia ukirudi utakuta wenzako wamemrekebisha
 
Back
Top Bottom