MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

Mimi huu uzi nadhani angeubadilishia title na kuwa hivi tumia account moja ya whatsapp kwenye simu mbili nadhani ingekaa vizuri zaidi.
 
Mimi huu uzi nadhani angeubadilishia title na kuwa hivi tumia account moja ya whatsapp kwenye simu mbili nadhani ingekaa vizuri zaidi.
account moja kivipi wakati unakua na accoumt mbili tofauti za wasap kwenye simu moja?
tena account za watu wawili hadi watatu tofauti kama hujaelewa unweza kuuliza...
 
Kuingilia privacy ya mtu mwingine yeyote kwa nia nzuri au kwa nia ovu ni dhambi ya kujitakia... Its un ethical...
 
Unamdukua mtu expecting perfection jambo ambalo halipo lazma ukutane na unachokitafta
 
maraisi 12 wa africa wamedukuliwa sembuse hizi mambo ndogo ndogo?
 
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.

lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha chat zako na kuweza kuzisoma ktk PC yako au kwa maneno mengine kuchat kwa kutumia computer.

sasa leo tuitumie njia hiyo hiyo kwa malengo tofauti na hayo niliyo taja hapo juu.

fuata hatua hizi
1. Ingia playstore kisha download app iitwayo
WhatsappWeb
2. Install ktk simu yako
3. Ifungue hiyo program
na utakutana na kitu kimeandikwa
USE whatsapp on your phone to scan the code
4. kisha chukua simu lengwa(hapa panaweza kuwa pagumu kidogo kama huna acces nayo basi hauta faniksha zoezi hili
ila fanya uwezavyo kuipata)
5.fungua whatsap yake na utakutana na chat zake kisa angalia pale juu kwenye kona ya kulia utakutana na vidoti vitatu

6. binyeza hapo utakutana na maandishi
whatsapp web, bonyeza hapo kisha itafungua sehem ya ku scan code(kama umewahi pita supermarket utajua hili.

7.hatua ya mwisho chukua simu yako uliyoinstall ile app na uiffungue italuletea hiyo cod iweke kwa nyuma ya simu lengwa kama mtu unaye taka kuipiga picha hivi
automatic itascan hiyo code na chat zake zitahamia kwako moja kwa moja.

ukifanikisha utaweza kufanya ya fuatayo bila yeye kujua

a.kusoma chat zake
b.kumbadilishia profile picture
c.kumbadilishia status
d.kuchat n.k

kifupi utakuwa umeimiliki wasap yake bila yeye kujua

nimeshindwa kuupload screenshots

PIA KUMBUKA KUDUKUA MAWASILIANO YA MTU NI KOSA KISHERIA.

KWENU MOD KAMA MADA HII ILIKWISHA WEKWA HUMU MNAWEZA KUIFUTA AU KUIUNGANISHA
ila tu iwe na maudhui kama haya ambayo yamekusudiwa katika mada hii.
nipo tayari kukosolewa.
Nimeipenda bure!
 
Sizani kama wazungu nivichaa kiasi hicho hapo mwisho wasiku utasikia lipia kwa m-pesa 20000 upewe access hatari sana watu wamepigwa sana
 
Whatssap web ni official extension ya WhatsApp kwenye PC (Web version) na ni rahisi sana mhusika kujua mtu anasoma content yake plus ina limitation nyingi sana.
1. Huwezi kusoma text kabla yake, ukazifungua bahati mbaya ataona text mpya zimeingia na zimesomwa.
2.Muhusika akiwa hana access ya data na wewe hutaweza kusoma.
3. Rahisi sana kugundulika, Whatssap ya kwenye simu yake inaweza kujua device ngapi zimeunganishwa, lini mara ya mwisho kusoma SMS zake etc.
4. Ukiwa unazisoma, status yake itaonyesha iko online hata kama hajangia Whatssap siku nzima, inakaribisha hole kubwa ya kujua anafuatiliwa
 
wangapi wata notice hiki ulicho andika ikiwa tu kuinstall mpaka wapeleke kwa fundi simu ili wawekewe sasap katika simu zao?
 
Back
Top Bottom