The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

Wanabodi,
nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina powers na uwezo wa kuumba,
Mfano kila mtoto anazaliwa akiwa malaika, kumuita "mtoto mbaya" mara kwa mara, hizo kauli zinamuumbia ubaya, mwisho wa siku anakuja kuwa mtoto mbaya kweli.

Hivyo ukitunga uongo, ukausema huo uongo, na kuurudia rudia, usipokanushwa kuwa huo ni uongo, then mwisho wa siku, uongo huo unageuka ukweli.

Hili Jarida la The Economist, siku zote limekuwa na kawaida ya kila siku kutunga uongo juu ya Tanzania, kumtukana rais wetu kwa majina ya ajabu ajabu na kumsingizia maneno ya uongo, mfano hai ni katika toleo lake la leo, Jarida hili limeibuka na kichwa cha habari hiki kuhusu Tanzania.
A dose of bullTanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
View attachment 1046773

Kwa wasomaji wa kizungu mnaweza kwenda kujisomea wenyewe
Tanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course

Mauongo yao ni kama ifuatavyo
Wanamuta rais wetu kuwa ni Bulldozer, wadai anawachukia wakosoaji, hivi ni kweli rais Magufuli ana chuki na wakosoaji?, hivi kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kama Dr. Slaa?. Huku kwenye mitandao ya Kijamii, kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa kama Prof. Kitila Mkumbo?. Kwa sasa kuna mtu anaikosoa serikali kama Zitto Zuberi Kabwe?, Jee rais Magufuli anamchukia Zitto?.

Kuhusu ukosoaji, ingekuwa sikuwepo nimefanya kuhadithiwa, ningeweza kuamini, lakini kwa bahati nzuri, mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?.

Hata swali langu mimi nililomuuliza ni swali la ukosoaji, lakini alijibu kwa kichoko na hata kuingizia utani wa maana ya jina langu, sasa hizi chuki za kukosolewa ni chuki zipi hawa The Economist, wanaozizungumzia?

Kama hoja ni ukosoaji wa Mhe. Tundu Lissu na kilichokuja kumtokea kwa vile shumbulizi lile limefanywa na watu wasiojulikana, hakuna uthibitisho kuwa Lissu ameshambuliwa kwa sababu ya ukosoaji
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Katika toleo hili limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ametamka Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992",

Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.

Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie, maana hakuna mtu anaweza kuwa amesikia kila kitu kitu kinachosemwa na rais, labda kama kazi yake ni kumsikiliza tuu rais kutwa kucha.

Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uwongo kama huu utakuja kugeuka ukweli.

Hebu Jisomee Mwenyewe kwanza, mauongo ya The Economist, nimekuwekea kila walicho andika, nikikuwekea kipi ni ukweli na kipi ni uwongo, tena nimeweka in number format.

Uongo kama huu unapoachwa, na kuendelea kurudiwa rudiwa, sio utapelekea dunia kuuona kama ni ukweli, bali utakuja kugeuka ndio ukweli wenyewe.

My Take Kuhusu Magufuli na Vyama Vingi Tanzania as far as 2020 is concerned
Baada ya ujio wa rais Magufuli, niliuliza
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo - JamiiForums

Rais Magufuli alipoanza kuchapa kazi kwa kasi kuleta maendekeo, nikauliza Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na Rais Magufuli, wapinzani wao wenyewe kwa ridhaa zao wakaamua kuunga mkono juhudi za rais Magufuli, hivyo nikashauri
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Na kitu mimi ninachokumbuka kusikia ni kuwa CCM itatawala milele, hivyo nami nikawahimiza watu humu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

Hivyo ikitokea uwongo huu wa Rais Magufuli kuua upinzani, na Uchaguzi wa 2020 kuirudisha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, CCM kutimia, hili litatokana na hayo niliyoeleza kujumlisha na uongo kama huu ulioumbwa kwa kauli zenye nguvu ya uumbaji, na kuithibitisha ile kauli ya "lisemwalo lipo, kama halipo linakuja.

Paskali

Rejea za Mauongo Mengine ya The Economist kuhusu Tanzania na rais wetu.

Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?. - JamiiForums

The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!. - JamiiForums

Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!. - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe! - JamiiForums

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta! - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli! - JamiiForums

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya? - JamiiForums

Kumbe Jarida La The Economist Sometimes Linaweza Kuandika Jambo Jema Kuhusu Tanzania!, Lamsifu Ifakara Health Institute Kwa Utafiti wa Malaria Afrika. - JamiiForums
Economist limegeuzwa uchafu ushuzi. Kwa ufupi gazeti hili uchumi wake ni wa kibepari unaojidai unategemea nguvu ya soko. Ukweli hali halisi sokoni ubepari wa kimataifa hautegemei nguvu ya soko tu ila hila ulaghai na dhuluma ndio sehemu kubwa wanategemea. Mchango mkubwa wa Economist ni kufanya hila na ulaghai.
Lilaaniwe economist na walaaniwe wahariri wake.
Abaixo o imperialismo
A luta continua
 
najaribu kutafakur huenda ikawa
Basi kama ni hivyo, utasuburi sana kwa kudhani natafuta, hivyo unavyonikosa unadhani nimekosa kumbe mwenzio ni dunga dunga sio kwa sindano kama za hospital, bali kwa sindano za acupancture zikiingia husikii, zinaingia kimya kimya na kwenda kushtua nevers.

Hivyo utasuburi sana.
P
 
Unge refer na magazeti ya musiba anayo wachafua watu ungekuwa poa sana sasa ww kila siku the economist umelogwa?
 
Basi kama ni hivyo, utasuburi sana kwa kudhani natafuta, hivyo unavyonikosa unadhani nimekosa kumbe mwenzio ni dunga dunga sio kwa sindano kama za hospital, bali kwa sindano za acupancture zikiingia husikii, zinaingia kimya kimya na kwenda kushtua nevers.

Hivyo utasuburi sana.
P
kumbe magu anaakili sana nilizani jiwe la bure.. hajakosea kukupotezea
 
Pascal Njaa nakuelewa vizuri sana, alisema akiwa Singida kuwa atagakikisha 2020 hakuna upinzani na ndio siku alipiga marudfuku mikutano na.shughuli halali zan kisiasa.
 
Basi kama ni hivyo, utasuburi sana kwa kudhani natafuta, hivyo unavyonikosa unadhani nimekosa kumbe mwenzio ni dunga dunga sio kwa sindano kama za hospital, bali kwa sindano za acupancture zikiingia husikii, zinaingia kimya kimya na kwenda kushtua nevers.

Hivyo utasuburi sana.
P
mkuu nnje ya mada.. hivi lile tukutuku lako lipoo au umepiga bei?
 
Wamchafue kwa kipi hasa vitendo vyake mwenyewe ndio vinavyodhihirisha nia yake ,sema anaogopa kukosa msaada maana 6.7 pasenti aliyopewa kwenye bajeti imemnyoosha kweli , na bado akithubutu kukasaini ka mswaada kake ka vyama vya siasa hapati hata mia .
Hii 6.7% iliandikwa kimakosa. Ukweli ulioandikwa baadaye na The Citizen ni 69%. Na waliomba radhi kwa kutoa taarifa za kupotosha hapo awali.
 
Wanabodi,
nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina powers na uwezo wa kuumba,
Mfano kila mtoto anazaliwa akiwa malaika, kumuita "mtoto mbaya" mara kwa mara, hizo kauli zinamuumbia ubaya, mwisho wa siku anakuja kuwa mtoto mbaya kweli.

Hivyo ukitunga uongo, ukausema huo uongo, na kuurudia rudia, usipokanushwa kuwa huo ni uongo, then mwisho wa siku, uongo huo unageuka ukweli.

Hili Jarida la The Economist, siku zote limekuwa na kawaida ya kila siku kutunga uongo juu ya Tanzania, kumtukana rais wetu kwa majina ya ajabu ajabu na kumsingizia maneno ya uongo, mfano hai ni katika toleo lake la leo, Jarida hili limeibuka na kichwa cha habari hiki kuhusu Tanzania.
A dose of bullTanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course
President John Magufuli hates critics, gay people and accurate statistics
View attachment 1046773

Kwa wasomaji wa kizungu mnaweza kwenda kujisomea wenyewe
Tanzania’s leader, the “Bulldozer”, runs off course

Mauongo yao ni kama ifuatavyo
Wanamuta rais wetu kuwa ni Bulldozer, wadai anawachukia wakosoaji, hivi ni kweli rais Magufuli ana chuki na wakosoaji?, hivi kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali kama Dr. Slaa?. Huku kwenye mitandao ya Kijamii, kuna mtu alikuwa mkosoaji mkubwa kama Prof. Kitila Mkumbo?. Kwa sasa kuna mtu anaikosoa serikali kama Zitto Zuberi Kabwe?, Jee rais Magufuli anamchukia Zitto?.

Kuhusu ukosoaji, ingekuwa sikuwepo nimefanya kuhadithiwa, ningeweza kuamini, lakini kwa bahati nzuri, mimi mwenyewe ni shahidi, nilikuwepo ikulu siku rais Magufuli anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini, alisema wazi kuwa hachukii kukosolewa, bali ukosoaji huo ufanywe kwa nia njema na kwa lugha ya staha, tena akasisitiza anapenda challenge, sasa hii chuki ya rais Magufuli kuchukia kukosolewa ni chuki ipi hii?.

Hata swali langu mimi nililomuuliza ni swali la ukosoaji, lakini alijibu kwa kichoko na hata kuingizia utani wa maana ya jina langu, sasa hizi chuki za kukosolewa ni chuki zipi hawa The Economist, wanaozizungumzia?

Kama hoja ni ukosoaji wa Mhe. Tundu Lissu na kilichokuja kumtokea kwa vile shumbulizi lile limefanywa na watu wasiojulikana, hakuna uthibitisho kuwa Lissu ameshambuliwa kwa sababu ya ukosoaji
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Katika toleo hili limekuja na kubwa ya mwaka, sio tuu kumsingizia Rais Magufuli kuwa ametamka kufuta vyama vingi, na kuiresha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja ifikapo mwaka 2020, bali pia wamemnukuu na kumlisha maneno kwa quotation kuuaminisha ulimwengu kuwa maneno hayo ni kweli rais Magufuli ametamka Mr Magufuli, says, is “determined that by 2020 there will be no political opposition in Tanzania. Essentially he wants to return it to one-party rule as it was before 1992",

Japo mimi sio mfutiliaji wa karibu wa kila hotuba za rais Magufuli, lakini ni msomaji mzuri wa kila kinachoandikwa kuhusu nchi yetu na kumhusu rais wetu, hivyo sikumbuki kuwahi kumsikia maneno haya ya The Economist, aliyatamka lini na wapi?.

Kama kuna mtu yoyote aliwahi kumsikia Rais Magufuli akisema atafuta vyama vingi, mwisho ni 2020, naomba anisaidie, maana hakuna mtu anaweza kuwa amesikia kila kitu kitu kinachosemwa na rais, labda kama kazi yake ni kumsikiliza tuu rais kutwa kucha.

Kama huu ni uwongo mwingine wa Jarida hili la The Economist, kama kawaida yao na mauongo kuhusu nchi yetu Tanzania na Rais wetu Magufuli, lazima tufike mahali sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali, rais wetu anatukanwa, tunakaa kimya, nchi yetu inatukanwa, tunakaa kimya, uwongo kama huu utakuja kugeuka ukweli.

Hebu Jisomee Mwenyewe kwanza, mauongo ya The Economist, nimekuwekea kila walicho andika, nikikuwekea kipi ni ukweli na kipi ni uwongo, tena nimeweka in number format.

Uongo kama huu unapoachwa, na kuendelea kurudiwa rudiwa, sio utapelekea dunia kuuona kama ni ukweli, bali utakuja kugeuka ndio ukweli wenyewe.

My Take Kuhusu Magufuli na Vyama Vingi Tanzania as far as 2020 is concerned
Baada ya ujio wa rais Magufuli, niliuliza
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo - JamiiForums

Rais Magufuli alipoanza kuchapa kazi kwa kasi kuleta maendekeo, nikauliza Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

Kufuatia kazi nzuri inayofanywa na Rais Magufuli, wapinzani wao wenyewe kwa ridhaa zao wakaamua kuunga mkono juhudi za rais Magufuli, hivyo nikashauri
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Na kitu mimi ninachokumbuka kusikia ni kuwa CCM itatawala milele, hivyo nami nikawahimiza watu humu
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums

Hivyo ikitokea uwongo huu wa Rais Magufuli kuua upinzani, na Uchaguzi wa 2020 kuirudisha Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, CCM kutimia, hili litatokana na hayo niliyoeleza kujumlisha na uongo kama huu ulioumbwa kwa kauli zenye nguvu ya uumbaji, na kuithibitisha ile kauli ya "lisemwalo lipo, kama halipo linakuja.

Paskali

Rejea za Mauongo Mengine ya The Economist kuhusu Tanzania na rais wetu.

Tanzania yaitwa Rot!, Wapinzani Wahongwa Milioni 60! Zitto Tishio kwa JPM, Wasomi Wetu Waitwa "Sycophantic Academics"!, is This True?, Is it Fair?. - JamiiForums

The Economist kuhusu Tanzania: Jarida linaona mapungufu tu kuihusu Tanzania!, Hivi kweli Tanzania hakuna mazuri yotote ya kuyaangazia?!. - JamiiForums

Uzalendo wa Ajabu wa Watanzania, Nchi Yako Inatukanwa!, Rais Wako Anatukanwa!, Tumenyamaza!. Huu Ni Uzalendo Gani?!. - JamiiForums

‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist" - JamiiForums

Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe! - JamiiForums

Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta! - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli! - JamiiForums

Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya? - JamiiForums

Kumbe Jarida La The Economist Sometimes Linaweza Kuandika Jambo Jema Kuhusu Tanzania!, Lamsifu Ifakara Health Institute Kwa Utafiti wa Malaria Afrika. - JamiiForums
Mkuu Pascali! Wewe ni mwandishi na unawakilisha jamii. Jaribu kutumia maneno ya kiswahili sawasawa.
Uongo wingi wake ni Mauongo?
Kuna public figures wengi huwa wanakosea sana kiswahili hasa plural ya maneno. Watoto wetu wakiiga na kujibia mitihani ,mtakuwa mmewakosesha nyie.
 
Mkuu Nisamehe, nisamehe bure tuu, lugha inazaliwa, inakuwa na inakufa, maneno yanazaliwa, yanatoholewa na yanakufa, na kwenye kuandika, au kuongea, mfano lugha ya Kiswahili, kuna Kiswahili sarufi, kuna Kiswahili sanifu, kuna Kiswahili fasaha na Kiswahili cha lugha za mitaani. Social media tunatumia zote bila masharti yoyote as long as umeeleweka.

Neno uongo wingi wake ni uongo
Neno uongo hata ukiwa mdogo ni uongo, ukiwa mkubwa ni uongo, hivi ni Kiswahili sanifu na fasaha.

Lakini kwenye social media
Uongo ukiwa mdogo ni kiuongo au kauongo
Uongo ukiwa mkuwa ni liuongo
Uongo ukiwa mwingi ni miuongo
Hivyo uongo ukiwa mwingi na miuongo mikubwa inakuwa ni mauongo mengi, makubwa
P.
 
Tunakoelekea ni vyama Vinci kama vya Rwanda na huko ndiko tutakuwa mwaka 2020. Paschal ile multiparty ambayo haina kichwa wala miguu ndiyo unayotetea kuwa demokrasia . Haya bwana, kila hero tafuta ukuu wa wilaya kwa UDI na uvumba utapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nisamehe, nisamehe bure tuu, lugha inazaliwa, inakuwa na inakufa, maneno yanazaliwa, yanatoholewa na yanakufa, na kwenye kuandika, au kuongea, mfano lugha ya Kiswahili, kuna Kiswahili sarufi, kuna Kiswahili sanifu, kuna Kiswahili fasaha na Kiswahili cha lugha za mitaani. Social media tunatumia zote bila masharti yoyote as long as umeeleweka.

Neno uongo wingi wake ni uongo
Neno uongo hata ukiwa mdogo ni uongo, ukiwa mkubwa ni uongo, hivi ni Kiswahili sanifu na fasaha.

Lakini kwenye social media
Uongo ukiwa mdogo ni kiuongo au kauongo
Uongo ukiwa mkuwa ni liuongo
Uongo ukiwa mwingi ni miuongo
Hivyo uongo ukiwa mwingi na miuongo mikubwa inakuwa ni mauongo mengi, makubwa
P.
hahahaaaa
 
Back
Top Bottom