Maumivu

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
May 29, 2013
471
47
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala
 
em acha kulia lia,man up,hakuna mwanamke anaetaka a man wa kulia lia,ht km ur afraid show tht ur strong,tafta vtabu google,u need to polish ur personality upya,mwanamke ts nt abt money only
 
Kwenye kiswahili hatuna "Munisaidie" kijana soma wanawake wapo tu,tumia wakati vizuri ilibidi uwe chuo kwa huo umri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kweli shule zimefungwa

We una miez michache imefaki,

Concentrate na masomo

Wanawake wapo na wataendelea kuwepo
 
Soma kwanza mapenzi yapo usiruhusu yakuharibie masomo kwani ukifail ndio watakukimbia vizuri utakosa mwana na maji ya moto.
 
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala

Mtihani wako wa necta lini?
 
Enyi vijana sikilizeni..
Mnapokuwa masomoni...
Acheni mchezo wa mapenzi..
Mnawapa uchungu ooh wazazi wenu.

Naona unavyoisaka division 5........
 
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea kuwapenda mabinti wananikataa kwa vile me nikijana mwenye aibu na mpole nashindwa kuwabembeleza na hikitokea binti kanikubali kinachonikimbiza nipale anaponiomba pesa sababu sina natokea mazingira magumu nimeamua kupiga punyeto mpaka pale binti akitokea kunipenda...naombeni munielekeze jinsi ya kutongoza manzi mpaka aeleweke niwe nawala

Dogo emu acha upuuzi tulia na shule ukishakuwa na life style ya ukweli watajileta wenyewe tena Wale wanaojitambua acha hao wasasa!
 
Dogo embu acha kulia lia!
Thired yenyewe umeandika huku unabana pua! Aanh we mtoto mchele mchele!!
...
Wacha kupiga puli!
Concentrate na masomo!
Kichupa kikijaa toa buku 5 ingia buchani kajinunulie nyama yako!
Ukitaka wa uhakika hio itakuwa ngumu kutokana na:
1 domo zege lako!
2 umaskini wako!
...
Ukimaliza masomo, + ukipata ajira, ndio fikiria mpango wa kuwa na m1 ambae ni stable!
Kinyume na hapo unajitaftia division 5!
 
uwale?
umle nani?
Hebu kua na heshima juu ya wanawake hata ile ya kufake?
Kwa upuuzi huo unadhani kuna atakae kukubali?
Inaonyesha hata elimu yako bado haikusaidii lolote.
 
Hakuna degree kwenye love. Degree iko shule. Mapenzi yapo yatakuwepo na yalikuwepo. Jenga maisha yako kishule kwanza hivi vitu havishi na utaviacha. Watch out!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom