Maumivu ya viungo, mifupa na misuli

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO
(shingo,mgongo,miguu,misuli kuvuta)
WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII
1:wenye umri mkubwa
2:wana michezo
3:uzito mkubwa
4:wana gym
5:watoto wenye upungufu wa madini chuma na vitamini

SABABU YA MAUMIVU HAYO
Umri unavyozidi kusogea au kukosa madini flani ya kuimarisha mifupa hupelekea mwili hushindwa kuzalisha ute ute (synovial fluid) katika viungo vya mifupa hivyo kupelekea msuguano wa viungo na kusababisha maumivu makali kushindwa kukaa,kuinuka,kukimbia na kutembea

KWANINI KUTOKEA MAUMIVU
1:kulika kwa cartilage
2:upungufu wa synovial fluid(ute)
3:maambukizi ya vijidudu katika viungo kama (bacteria,fangasi na virusi
4:uzito kua mkubwa
Hivyo basi kwakua umri umeenda au kufanya mazoezi kwa wingi kuna madini yanakua yanapungu au kukosekana kabisa nayo ni

Mifupa yetu imetengenezwa na madini na vitamini mbalimbali navyo ni kama ifuatavyo
1: Chuma(Fe)
2: Calcium(Ca)
3: Zinc(Zn)
4: Boron(B)
5: Copper
6: Magnesium(Mg)
7: hosphorus(P)
8: otassium(K)

Pamoja na VITAMIN D

Na Suluhisho pekee la Tatizo La Joints ni kutumia Virutubisho(Food Supplements),kwa mwenye tatizo ama kwa wanaofanya mazoezi ili kuongeza huo ute ute kwa lengo la kuzuia misuguano ya joints.
 
Vyakula / Matunda gani yana hayo madini / vitamin tule na kushiba kufidia hayo huo upungufu ikawa mbadala wa wimbo wa food supplements??
Ikiwemo ovacado,acidity fruits na baadhi ya vyakula ambavyo ni vya aina tofauti
 
Aina za vyakula na matunda yanayochangia madini na vitamini kuimarisha mifupa ni kama vifuatavyo
1:Apples,avocado,ndizi,broccoli,zabibu,
2:Nafaka jamii ya mikunde
3:viazivitamu,nyanya
4:uyoga,nyama(maini,nyekundu)
5:nafaka zisizokobolewa,
6:mboga mboga za kijani(spinach nk)
7:maziwa,yoghurt,
8:hard water(maji magumu)
9:mayai,samaki na matunda yenye acid
 
Mtuelimishe.... Muende deep. Supplements zije kama the very last option. Nenda deep kidogo Mkuu🤣
Supplements kama vidonge tu zinasaidia kwa muda fulani mwilini mwako zikisha nguvu unaumwa tena tumia vyakula vya asili. Kama mboga za majani na matunda ya aina zote zitakusaidia kutibu maradhi ya mifupa. Kula vyakula vyenye madini mengi ya calcium kwa wingi kwa mfano kula Seamoss

Bladderwrack... MAJANI YANAYOTOKA CHINI YA BAHARI.

Sea Vegetables / Seaweeds MIWANI YA BAHARINI AKA MBOGA YOYOTE INAYOTOKA BAHARINI

Lamb’s Quarter

Amaranth Green

Stinging Nettle..... MBOGA YA MAJANI YA UPUPU

Encino (Oak Bark)

Watercress...

Kale .... SUKUMA WIKI MBOGA YA MATEMBELE

Lettuce... SALATA

Sesame Seed MBEGU ZA UFUTA MWEUPE

Key lime.. NDIMU

Orange....... MACHUNGWA

Onion....... KITUNGUU MAJI

Figs (dried) TUNDA LA TINI KAVU

Quinoa
 
Supplements kama vidonge tu zinasaidia kwa muda fulani mwilini mwako zikisha nguvu unaumwa tena tumia vyakula vya asili. Kama mboga za majani na matunda ya aina zote zitakusaidia kutibu maradhi ya mifupa. Kula vyakula vyenye madini mengi ya calcium kwa wingi kwa mfano kula Seamoss

Bladderwrack... MAJANI YANAYOTOKA CHINI YA BAHARI.

Sea Vegetables / Seaweeds MIWANI YA BAHARINI AKA MBOGA YOYOTE INAYOTOKA BAHARINI

Lamb’s Quarter

Amaranth Green

Stinging Nettle..... MBOGA YA MAJANI YA UPUPU

Encino (Oak Bark)

Watercress...

Kale .... SUKUMA WIKI MBOGA YA MATEMBELE

Lettuce... SALATA

Sesame Seed MBEGU ZA UFUTA MWEUPE

Key lime.. NDIMU

Orange....... MACHUNGWA

Onion....... KITUNGUU MAJI

Figs (dried) TUNDA LA TINI KAVU

Quinoa
Upo sawa mzizimkavu ila hususani kwa wale wanaoumwa ndo watumie supplements ila wakisha pona warudi kwenye mchango wako uliosema
 
Aina za vyakula na matunda yanayochangia madini na vitamini kuimarisha mifupa ni kama vifuatavyo
1:Apples,avocado,ndizi,broccoli,zabibu,
2:Nafaka jamii ya mikunde
3:viazivitamu,nyanya
4:uyoga,nyama(maini,nyekundu)
5:nafaka zisizokobolewa,
6:mboga mboga za kijani(spinach nk)
7:maziwa,yoghurt,
8:hard water(maji magumu)
9:mayai,samaki na matunda yenye acid

Mwingine atakuambia nyama siyo nzuri kwa afya yako,cjui nani tumuelewe baba. Mara oh kuna vyakula vinapoteza nguvu za kiume,dahh wabongo bwana
 
Back
Top Bottom