Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maumivu ya uti wa mgongo

Discussion in 'JF Doctor' started by Kuku wa Kabanga, Mar 4, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  habari wanajamvi

  Naomba msaada,nina mdogo wangu anafanya kazi uwanja mmoja wa ndege hapa TZ,ni kawaida anapokua anaingia shift ya usiku,yeye pamoja na wafanyakazi wenzie hutandika maboksi chini na kulala kwani usiku hakuna kazi nyingi kama ilivyo mchana.

  Sasa mwaka jana alianza kuhisi maumivu kwenye uti wa mgongo,akaenda hospitali moja na daktari alipoelezwa tatizo akamwandikia dawa za maumivu na kumwagiza akimaliza dawa na tatizo likaendelea arudi tena,tatizo halikuisha,ndipo dokta akamshauri akapige picha ya xray,alipoenda kupiga picha na daktari kuitazama akasema haoni tatizo bali hali ile imesababishwa na nature ya kaazi anayofanya,akamshauri asilale sakafuni na pia apumzike kila apatapo muda,cha ajabu tatizo bado linaendelea licha ya kufanya vyote,naomba kujua,inaweza kuwa serious ishu au ni kama doc alivosema?
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwambie pooole saaana.

  Yaweza kuwa slip disk. Na tiba yake ni kumeza dawa za maumivu kama Flamar-MX, au muvera na kulala chini. Mazoezi ya viungo mepesi yaweza yakawa msaada mkubwa kuirudisha hiyo sliped disk kurejea mahali pake. GOOD LUCK
   
Loading...