maumivu ya tumbo la chini baada ya tendo la ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maumivu ya tumbo la chini baada ya tendo la ndoa

Discussion in 'JF Doctor' started by Anne Maria, Aug 5, 2012.

 1. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi karibuni tulikutana kimwili na mpenzi wangu mpya kwa mara ya kwanza..sasa kiukweli nilifurahia sana tendo na kufika kilele mara kadhaa lakini baada ya tendo hilo nikajikuta nimepata maumivu makali sana kwa dakika kadhaa (dk 15) kwenye tumbo la chini kama nataka kuanza siku zangu lakini siku zangu ni bado sana kama wiki mbili mbele na sina ujauzito. na hii hali haijawahi kunitokea hata siku moja huko nyuma.. inaniogopesha nina tatizo gani?, naombeni msaada... nimepima magonjwa ya zinaa nimewambiwa nipo safi.
  Asanteni sana.
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Pole sana AM, ni yule mpenzi mpya uliyempata hapa JF baada ya ile post yako ya kutafuta?

  Subiri wataalamu watakuja kukusaidia.
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  yawezekana alikauaoapoa wewe nini? mbona umekimbilia huko?
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,327
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Siku zako wiki 2 mbele? Hujafanya siku ya ovalation wewe je ulitumia dawa ya penzi?
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.

  kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hapana boss wangu, huwa kabla ya kusoma thread napenda kuperuzi history ya muanzisha mada ili ninachochangia kiandane na hali halisi . . . .

  Niaje Teacher? Mgomo umekwisha kwa Mkwala wa JK na Mahakama au Mkoba kawauza?
   
 7. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Inawezekana mlikuwa mnafanya sarakasi za level ya juu sana..ukizoea litaacha..
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  miye bado nimegoma wala siendi job na nimeandika notisi ya mwez mmoja kuacha kazi naisubmit j3. nimewaeleza sababu zangua kinagaubaga so wataisoma na kunijibu najua,
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duh kazi ipo
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaongea kama una uzoefu wa uhakika kabisa. I mean unasema kuumwa mwili mzima hasa mbavu . . . . sijui kuumwa mapaja na mikono (sijui mikono inakuja vipi? lol), na kisha misuli ya tumbo . . . hebu funguka zaidi.
   
 11. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ok, ni sababu zile zile za Kimaslahi au kuna nyingine? Bila shaka utakuwa umeshafikiria njia mbadala ya kuendesha maisha yako na familia.
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  hakuna nimechoka tu kufundisha nahtaj kufanya kitu kingine zaid so far nimebanwa zaid na tafiti zangu so nitawalostisha hawa wanafunzi kwasasa.
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Upo boss,
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Boss wetu karibu tena, ama kweli ulipotea sana. Swalama lakini? Niaje jukwaa lako?
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Sarakasi hizo, itakuwa ulikunjwa sana
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  pole ana maria
   
 17. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahahaha mmhh umejuaje?? asante
   
 18. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndio ila tulitumia kinga,, haikua exact siku ya 14 ilikua ya 16
   
 19. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  alikupiga kipara yani nyama kwa nyama??????????//
   
 20. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante mpenzi,, maybe we overdid na ni kweli it was a long time kidogo sikua na mtu b4 him,,, asante kwa kuni assure
   
Loading...