Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

Asante Dr Ila nimeshatumia pia dawa zako Ila hazikunipa msaada wowote , ilikua mwaka 2018 najua sio rahisi kwako kunikumbuka
Mimi sikujuwi na sijawahi kukutibia wewe unasema umesha wahi kutumia dawazangu lini na mwaka gani? Na je nilikupa mimi kw amkono wangu hizo dawaunazosema kuwa umesha wahi kuzitumia? lete ushahidi wako hapa
 
Ilikua mwaka 2018 tulianza mawasiliano hapa Kisha ukanipa namba ya kutuma pesa ilikua 470,000 Tena pamoja na ya kutolea Kisha nilitumiwa hizo dawa Ila hazikunipa nafuu nakumbuka nikakujulisha ukanijia juu kuwa Sina subira nataka nione matokeo mapema then sikukutafuta Tena na hata nilivomaliza dawa hakukuwepo na mabadiliko yoyote ...namba uliyonitumia ilikuwa 0714 807720 na huyo kijana uliniambia anaitwa chidi classic ( sidhan Kama Kuna ushahidi Zaid ungehitaji?)

Nb : kwa wakati huo uliniambia haupo Tanzania na hata namba tuliokuwa tunatumia kuwasiliana ilikua sio ya Tanzania
Ilikua mwaka 2018 tulianza mawasiliano hapa Kisha ukanipa namba ya kutuma pesa ilikua 470,000 Tena pamoja na ya kutolea Kisha nilitumiwa hizo dawa Ila hazikunipa nafuu nakumbuka nikakujulisha ukanijia juu kuwa Sina subira nataka nione matokeo mapema then sikukutafuta Tena na hata nilivomaliza dawa hakukuwepo na mabadiliko yoyote ...namba uliyonitumia ilikuwa 0714 807720 na huyo kijana uliniambia anaitwa chidi classic ( sidhan Kama Kuna ushahidi Zaid ungehitaji?)
 
Ilikua mwaka 2018 tulianza mawasiliano hapa Kisha ukanipa namba ya kutuma pesa ilikua 470,000 Tena pamoja na ya kutolea Kisha nilitumiwa hizo dawa Ila hazikunipa nafuu nakumbuka nikakujulisha ukanijia juu kuwa Sina subira nataka nione matokeo mapema then sikukutafuta Tena na hata nilivomaliza dawa hakukuwepo na mabadiliko yoyote ...namba uliyonitumia ilikuwa 0714 807720 na huyo kijana uliniambia anaitwa chidi classic ( sidhan Kama Kuna ushahidi Zaid ungehitaji?)
Mkuu sikumbuki lakini kama ni kweli ungewasiliana na mimi tena kwani wewe ndio mgonjwa hata kama dawa hazija kusaidia tungeweza kutafuta dawa zingine za kuweza kukusaidia kwani dawa sio chumvi na unaweza kutumia dawa ukapona au usipone kwani dawa haziponyeshi anaye kuponyesha wewe mgonjwa ni Mungu dawa inakuwa ni sababu ya kuweza kupona maradhi yako.

Kama nilikutolea ukali unisamehe kwani dawa zetu za asili huwezi kutumia siku 3 au siku 7 ukapona dawa za asili uchache wake wa kutumia ni siku 30 wingi wake wa kutumia dawa za asili ni siku 90 aka miezi 3 ndipo utakapo weza kupona maradhi yako.
 
Mkuu sikumbuki lakini kama ni kweli ungewasiliana na mimi tena kwani wewe ndio mgonjwa hata kama dawa hazija kusaidia tungeweza kutafuta dawa zingine za kuweza kukusaidia kwani dawa sio chumvi na unaweza...
Yaani umeshampiga 470,000 kwa ma ahadi kibao hazijamsaidia chochote aendelee kukusikiliza uendelee kumpiga zaidi? Ogopa sana watu wanaojifanya kila ugonjwa wanautibu wanasoma signs and symptoms kwenye vitabu na kusimulia wagonjwa kuwa wanatibu rooongo tupu.

Hata mahospitalini sii kila daktari anatibu kila ugonjwa, hata kwenye tiba asili unakuta mganga anatibu ugonjwa mmoja tu ndio asili na mababu ukiwauliza kila mtaalamu kaoteshwa kutibu ugonjwa wake
 
Yaani umeshampiga 470,000 kwa ma ahadi kibao hazijamsaidia chochote aendelee kukusikiliza uendelee kumpiga zaidi? Ogopa sana watu wanaojifanya kila ugonjwa wanautibu wanasoma signs and symptoms kwenye vitabu na kusimulia wagonjwa kuwa wanatibu rooongo tupu. Hata mahospitalini sii kila daktari anatibu kila ugonjwa, hata kwenye tiba asili unakuta mganga anatibu ugonjwa mmoja tu ndio asili na mababu ukiwauliza kila mtaalamu kaoteshwa kutibu ugonjwa wake
Acha ujinga wewe watu wanapoteza mamilioni ya pesa hospitalini na hawaponi wanakuja kupona kwa dawa zetu za asili. Itakuwa huyu jamaa ametoa pesa kidogo na hakupona.Anaye ponyesha ni Mungu sio bindamu si amekuja hapa tena kutaka msaada mpe ushauri wako acha kusema maneno kama vile umelewa toa tiba hapa kama kweli unajuwa acha kukandia watu na kusema maneno yako ya pumba hapa jukwaani Mimi nilimtibia na hakupona Mungu hajataka Mungu angelitaka angepona wangapi nimewatabia na wamepona itakuwa huyu anaye kuja kulalamka hapa jukwaani? Tuone basi kama atampata mtu wa kuweza kumtibia maradhi yake.
 
Hii sio kauli ya ki daktari kabisa, ama kweli unatia shaka!!!.😱
ulitaka nimjibu nini?Nimbembeleze nini? mtu akikwambia pumba unamjibu kipumbapumba.Sikutolewa mimi nyongo mimi ni binadamu kama bindamu wengine. ukizungumza na mimi vizuri nitakujibu vizuri ukizungumza maneno ya pumba nitakujibu hivyo hivyo kipumbapumba tu.
 
ulitaka nimjibu nini?Nimbembeleze nini? mtu akikwambia pumba unamjibu kipumbapumba.Sikutolewa mimi nyongo mimi ni binadamu kama bindamu wengine. ukizungumza na mimi vizuri nitakujibu vizuri ukizungumza maneno ya pumba nitakujibu hivyo hivyo kipumbapumba tu...

Huyo ndugu hakulalamika bali alikujibu wewe kwamba dawa ulizompatia hazikumsaidia na hii ni haki ya mgonjwa kusema ukweli ikizingatiwa hizo dawa hukumpa bure, halafu unadai ulimtibia na Mungu hakutaka ndio maana hajapona, swali umejuaje kama Mungu hakutaka?

Halafu kauli yako ya mwisho imejaa kiburi inayofanya tukuhisi vinginevyo, unasema; " tuone basi kama ataweza kumpata mtu wa kumtibia maradhi yake"---- hii ni kauli ya hovyo sana ikizingatiwa kuwa ni punde tu umeandika; "Mungu hakutaka apone" je muda huu umesahau kuwa Mungu ndiye mponyaji? je unajivika madaraka ya uponyaji kwa kudai kuwa hakuna wa kumponya huyo ndugu??!!😱

"Uganga" wako unatia shaka sana.
 
Mzizi kapaniki, hakutaraji jibu kutoka kwa mgonjwa. Ni wazi huduma zake zinatia mashaka.
 
Kwa majibu haya kwa MTU ambaye nimekujibu vzr na kukaa kimya kukuheshimu na nikikumbuka tone yako ya kibabe ya kumfokea MTU usiyemjua aliekupa 470,000 plus za kutolea naanza kuamini wewe SIO DAKTARI NA UPO KUTAPELI WATU ILA ENDELEA TUU NA UNAFIKI WAKO HUO KWA KUJIFANYA UNAMTAJA MUNGU NA KWA TAARIFA YAKO WEWE HUWEZI KUZUIA MIMI KUPONA KWA KUWA WEWEULISHINDWA KUTOKANA NA KUWA DAWA ZAKO NI ZA UONGO INSHORT WEWE NI TAPELI NA BILA SHAKA ILE 470,000 BADO UNAYO ENDELEA KUUTUMIA
Acha ujinga wewe watu wanapoteza mamilioni ya pesa hospitalini na hawaponi wanakuja kupona kwa dawa zetu za asili. Itakuwa huyu jamaa ametoa pesa kidogo na hakupona.Anaye ponyesha ni Mungu sio bindamu si amekuja hapa tena kutaka msaada mpe ushauri wako acha kusema maneno kama vile umelewa toa tiba hapa kama kweli unajuwa acha kukandia watu na kusema maneno yako ya pumba hapa jukwaani Mimi nilimtibia na hakupona Mungu hajataka Mungu angelitaka angepona wangapi nimewatabia na wamepona itakuwa huyu anaye kuja kulalamka hapa jukwaani? Tuone basi kama atampat amtu wa kuweza kumtibia maradhi yake.
 
Huyo ndugu hakulalamika bali alikujibu wewe kwamba dawa ulizompatia hazikumsaidia na hii ni haki ya mgonjwa kusema ukweli ikizingatiwa hizo dawa hukumpa bure, halafu unadai ulimtibia na Mungu hakutaka ndio maana hajapona, swali umejuaje kama Mungu hakutaka?...
Angenilalamikia kwa kunitafuta Privste messege sio kuja hapa kunichafulia jina langu hakuwa na nia nzuri. Wangapi watu wanatibiwa hospitali hawaponi mbona hawaji kwenye majukwaa ya mitandao kuwalaumu Ma-daktari kuwa dawa walizo pewa na Madaktari hazija waponyesha? Mimi hata kama nimempa dawa hazija mponyesha ni Mungu hajazikubali dawa ndio maana hazija mponyesha mimi siwezi kumponyesha mtu kwani mimi sio Mungu.

Mungu tu peke yake ndio mponyeshaji mimi ninakuwa sababu ya wewe kuponya maradhi yako,lakini sina uwezo wa kumponyesha mtu kwani kazi ya kumponyesha mtu sio kazi yangu ni kazi ya Mungu. Aje hapa Daktari au mganga wa asili aseme kuwa ana uwezo wa kumponyesha mgonjwa? Acheni kushabikiwa maneno ya pumba hapa jukwaani.

Angelipona angelikuja hapa kunisifia huyo munae mshabikia? Watu wangapi nimewapa dawa zangu na Mungu amewaponyesha watu wengi wao wanatoka humu Jamii forums je waliwahi kuja kusema kuwa dawa zangu zimewatibia na kupona? au mnapenda mambo ya ushabiki kama vile mupo mpirani munashabikia ushabiki wa Simba na Yanga? Acheni ujinga huo.
 
Kwa majibu haya kwa MTU ambaye nimekujibu vzr na kukaa kimya kukuheshimu na nikikumbuka tone yako ya kibabe ya kumfokea MTU usiyemjua aliekupa 470,000 plus za kutolea naanza kuamini wewe SIO DAKTARI NA UPO KUTAPELI WATU ILA ENDELEA TUU NA UNAFIKI WAKO HUO KWA KUJIFANYA UNAMTAJA MUNGU NA KWA TAARIFA YAKO WEWE HUWEZI KUZUIA MIMI KUPONA KWA KUWA WEWEULISHINDWA KUTOKANA NA KUWA DAWA ZAKO NI ZA UONGO INSHORT WEWE NI TAPELI NA BILA SHAKA ILE 470,000 BADO UNAYO ENDELEA KUUTUMIA
Wewe endelea kunichafulia jina langu hayo maradhi yako ndio yatakuwa sababu ya wewe kuondoka hapa duniani huponi hayo maradhi uliyokuwa nayo in-sha-allah.

Umekuja kuomba msaada na kunichafulia jina langu eti kwa sababu nilikupa dawa hujapona maradhi yako? Je ungelikwenda Hospitali kwa daktari ungelimtaja hapa jina lake Daktari aliye kutibia na hujapona?

kwani kuna Daktari au mganga wa asili anaye ponyesha maradhi au Mungu ndie mponyeshaji maradhi? niharibie jina langu kwa kunitukana mimi nina muachia Mungu atakulipa hapa hapa duniani kama hujaondoka katika hii dunia na huponi tena hayo maradhi uliyokuwa nayo Mungu atakulani kwa kunichafulia jina langu amin.
 
Yaani umeshampiga 470,000 kwa ma ahadi kibao hazijamsaidia chochote aendelee kukusikiliza uendelee kumpiga zaidi? Ogopa sana watu wanaojifanya kila ugonjwa wanautibu wanasoma signs and symptoms kwenye vitabu na kusimulia wagonjwa kuwa wanatibu rooongo tupu. Hata mahospitalini sii kila daktari anatibu kila ugonjwa, hata kwenye tiba asili unakuta mganga anatibu ugonjwa mmoja tu ndio asili na mababu ukiwauliza kila mtaalamu kaoteshwa kutibu ugonjwa wake
Utapeli ni urahibu mzee, hapo alipo mimate inamtoka anaweza asipate hata usingizi kwa kutafuta techniques gani afanye kumtapeli tena. Si ameona mwepesi kutoa hela! Na yanakuwaga majinga ivoivo hadi yanakamatwa na kukamatwa bila kujua. Haiji akilini umtapeli mgonjwa hela ndedu ivo, na ukabaki salama. Mungu yupo. Mungu atawahukumu kwa wakati wake.
 
Angenilalamikia kwa kunitafuta Privste messege sio kuja hapa kunichafulia jina langu hakuwa na nia nzuri.

Wewe umemuhoji publicly naye kakujibu publicly isitoshe ametoa pesa ili wewe uimpe dawa, sasa kama dawa haijamponesha unataka asemeje??!!--- ilikupasa wewe utoe elimu ya hiyo dawa yako publicly ili kuitangaza kwani hiyo ilikuwa ndio fursa yako adhimu kujitangaza kama Daktari, na mara nyingi madaktari huwa ni watu very humble kwani wasipokuwa hivyo basi itakuwa ni balaa wakutanapo na Wagonjwa vichaa.
 
Wewe endelea kunichafulia jina langu hayo maradhi yako ndio yatakuwa sababu ya wewe kuondoka hapa duniani huponi hayo maradhi uliyokuwa nayo in-sha-allah.

Umekuja kuomba msaada na kunichafulia jina langu eti kwa sababu nilikupa dawa hujapona maradhi yako? Je ungelikwenda Hospitali kwa daktari ungelimtaja hapa jina lake Daktari aliye kutibia na hujapona?

kwani kuna Daktari au mganga wa asili anaye ponyesha maradhi au Mungu ndie mponyeshaji maradhi? niharibie jina langu kwa kunitukana mimi nina muachia Mungu atakulipa hapa hapa duniani kama hujaondoka katika hii dunia na huponi tena hayo maradhi uliyokuwa nayo Mungu atakulani kwa kunichafulia jina langu amin.
Ushindwe na ulegee kabisa na sitokufa nitaishi na huna uwezo wa kuniua kwa ulozi wako huo na Kama huna makandokando kwanni umekuja private kunitukana mimi na mama yangu .kwa taarifa yako hakuna wa kunituma Mimi nikuchafue wewe ili nipate faida gani sikujui hunijui? Na ukumbuke nilikaa kimya wewe ndio ulitaka ushahidi nikakupa na kunyamaza sikuendelea kukufuatilia Ila naona una lugha za kukera ndio maana nalazimika kukujibu hapa ...hiyo inshallah yako ikurudie wewe na kizazi chako na Mimi nitapona .vipi na hiyo pesa 470,000 bado unayo?
 
Wewe umemuhoji publicly naye kakujibu publicly isitoshe ametoa pesa ili wewe uimpe dawa, sasa kama dawa haijamponesha unataka asemeje??!!--- ilikupasa wewe utoe elimu ya hiyo dawa yako publicly ili kuitangaza kwani hiyo ilikuwa ndio fursa yako adhimu kujitangaza kama Daktari, na mara nyingi madaktari huwa ni watu very humble kwani wasipokuwa hivyo basi itakuwa ni balaa wakutanapo na Wagonjwa vichaa.
Na ningekupaje maendeleo yangu@ mzizimkavu wakati tayari ulishindwa kutoa ushirikiano kwa kuwa mkali ?, jaribu kuvaa viatu vya wenzako MTU ninaumwa nimejichanga kwa shida kukupa pesa ya matibabu( ambayo kwako unasema Ni pesa ndogo, sijui unafahamu niliipataje?) halaf nakueleza Hali yangu unakuwa mkali na kunifokea Kama mtotokwa Nini nisikae kimya?
 
Back
Top Bottom