Maumivu ya Mapenzi yako wapi? ? ?

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Kila siku watu wanalia na maumivu ya mapenzi.
Lakini najaribu kuyalinganisha na maumivu mengine, maumivu mengine yote unaweza gusa kiungo na kusema hapa panauma.

nashindwa elewa, maumivu ya mapenzi yanakuwa wapi? Yanashika kiungo gani? Ni moyo? Ni ubongo? Ni tumbo?

Hebu nisaidieni . . . .
 
Emotional center in the brain of course, which triggers the release of hormones in the blood stream one of which is the adrenaline responsible for the heartbeat race and high blood pressure
 
Kila siku watu wanalia na maumivu ya mapenzi.
Lakini najaribu kuyalinganisha na maumivu mengine, maumivu mengine yote unaweza gusa kiungo na kusema hapa panauma.

nashindwa elewa, maumivu ya mapenzi yanakuwa wapi? Yanashika kiungo gani? Ni moyo? Ni ubongo? Ni tumbo?

Hebu nisaidieni . . . .

Maumivu ya Mapenzi ni intense emotional pain or suffering one feels after losing a loved one, whether through death, divorce, breakup, physical separation, or romantic rejection.

Ni ngumu kuyacompare na maumivu ya kawaida au ya viungo ambavyo unaweza kuyatuliza hata kwa panadol, haya ya mapenzi huacha kumbukumbu na makovu yasiyotibika kirahisi! Pia saa nyingine humfanya mtu afanye maamuzi magumu hata ya kuirudisha nafsi yake kwa muumba! Ni hatari kwa kweli.
 
Unahisi maumivu moyoni, hata ukila chakula hakipiti, usingizi hauji,unaona kila mtu mbaya na unahisi dunia yote inataka kukuangukia lol! Wacha kabisa hiyo kitu..
 
Kila siku watu wanalia na maumivu ya mapenzi.
Lakini najaribu kuyalinganisha na maumivu mengine, maumivu mengine yote unaweza gusa kiungo na kusema hapa panauma.

nashindwa elewa, maumivu ya mapenzi yanakuwa wapi? Yanashika kiungo gani? Ni moyo? Ni ubongo? Ni tumbo?

Hebu nisaidieni . . . .

Kongosho,

Haya maneno sio scientific so usinitake nithibitishe please. Maumivu ya mapenzi yaanathiri sehemu ya ubongo inayohusika na matendo wanaita yasiyo ya hiyari (hope unayakumbuka, so mapenzi ni mojawapo ya matendo hayo) Ndio maana mara nyingi mapenzi yanakuwa very uncontrollable. Sasa matendo yasiyo ya hiyari hupelekea mwili ku act isivyo hiyari pia, kwa mfano unaposhtuliwa na kuingia woga huweza kupata baridi mwili mzima na vinyweleo kusimama ghafla hali ambayo huwezi kuifanya wewe mwenyewe kwa kutaka.

Sasa maumivu ya mapenzi huwa yanagusa eneo ambalo linakuwa na athari karibu mwili mzima na ndio maana huamsha hisia za hasira, uchungu, woga nk. Hisia hizi hupelekea matokeo mengine kama vile kulia, kushindwa kula, kulala nk. Kwa hiyo hii ni ndio husababisha mtu kupata maumivu ambayo anashindwa kuyatanabaisha yanatokea wapi hasa. Huu ni uchambuzi wangu usiokuwa wa kisayansi lakini kabla siku haijaisha ntakuwa nimekupatia uchambuzi wa kisayansi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa yana gusa kongosho yangu mpaka na hisi ibadilishwe ni wekewe ya chui!
 
Ni kujiona yule aliyekuwa unahisi anakukuali, unamkubali, unampenda, unahisi anakupenda hayuko tena katika namna uliyokuwa unafeel zamani........as a result unajiona usiyefaa, usiyekubalika, usiyependeka!!ni mwili muzima mzeiya wenye experience wanasema, lakini what I believe mtu akiweza kuwa na control over the psychology anayabeat maumivu haya within a short time na kutokujiendekeza!
 
jamani mimi ni kiuno....yaani maumivu ninayoyapata siwezi kusimulia....ni sawa na kuugua ngiri.....
 
Kongosho kwanza, ya leo kali aisee nimechakaje jamaniii.

ila ukeli ni kwamba mapenzi ni kitu kinachogusa hisia za mwili na hisia za mwili hormanal controlled japokuwa pia una wakati ambapo hata CNS inahusika pia. anything which disturbs your hormonal coordination lazima kisababishe matatizo mtambuka ndani ya mwili wako.

mfano, unapokasirika sana huwez kusema hasira ziko mkononi ama kuzigusa lakin ile ni emotion iliyotokana na kuwa hypersensitive towards something. na baada ya hasira kali sana waweza kujikuta unaumwa mwili mzima kwani akunakuwaga na oversecretion ya some hormones from different glands hata enzymes pia na ndio maana wengine hadi wanatapika. this applies the same kwenye mapenzi. mwingine akiumizwa sana hujikuta hata kula hawez kumbe gastrointestinal glands zimesha kuwa impared kwa wakati huo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom