Maumivu ya mapenzi hayakwepeki

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,644
Maumivu ya mapenzi Ni Kama kifo TU lazima uyapitie.achilia mbali mwanamke ambaye unaishi naye Kama mke Ila hata Malaya ambaye unamgonga for show ukimuona anatoka na mwanaume mwingine lazima TU iku touch.ukifikiria mautundu aliyokuonyesha halafu anaenda kumkatikia kiuno na mwanaume mwingine.tujiandae kisaijolojia mwanaume lazima uwe na roho mbili.moja ya maumivu unaicha kwenye kabati nyingine ndo unaondoka nayo kwenda kwenye mishemishe zako.
 
Ha ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yamekushinda achana nayo fanya issues zingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom