Maumivu ya korodani baada ya jogging

Samireal

Member
Aug 16, 2015
88
22
Habari wana JF? Hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu kwenye korodani kupanda hadi maeneo ya kibofu chini kila nikifanya mazoezi ya kukimbia na hapo awali haijawahi kunitokea hali kama hii, je hii ni hali ya kawaida kwa mtu alieacha mazoezi halafu akaanza tena au ni tatizo?

Swali la kichokozi eti ni kweli matembele yanaweza kusababisha mtu akapata mabusha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha matembele hapana.jitahidi kuvaa boxer za kupana pumbu zibane zisichezecheze
Habari wana JF? Hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu kwenye korodani kupanda hadi maeneo ya kibofu chini kila nikifanya mazoezi ya kukimbia na hapo awali haijawahi kunitokea hali kama hii, je hii ni hali ya kawaida kwa mtu alieacha mazoezi halafu akaanza tena au ni tatizo?

Swali la kichokozi eti ni kweli matembele yanaweza kusababisha mtu akapata mabusha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matembele(wala nazi na madafu) hayasababishi

Kuhusu korodani inaoneka km korodani zako huwa zinaji-twist hivyo kupelekea damu kutokuingia vizuri kwny korodani na kukusababishia maumivu(kitaalamu inaitwa testicular torsion)
Jambo la msingi ni uende hospitali mapema waonr wanakusaidiaje maana ikijitwist kwa muda mrefu na zikikosa damu zitapelekea kuharibika na kukufanya uwe TASA!!

Pia napingana na huyo aliyekwambia uvae BOXER za kubana..sio kweli!!?? Boxer za kubana sio nzuri KIAFYA!! zinapelekea joto kuwa kubwa na kuharibu utengenezaji wa mbegu za kiume hence utakuwa TASA!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom